Nyakati zilizo rahisi na kumnasa binti....

Nyakati zilizo rahisi na kumnasa binti....

Huwa najiuliza ivi kumpata mtu.. Unatumia nguvu kubwa sana kwa nini..? Na km mtu ana mtu wake kwa nn umvizie..? Kwa akili ya kawaida si unajiletea migogoro kweny maisha au..?
 
Itachukua muda kumfaham mwenye kuwa na tatizo kama hilo.

Style inayotumika hapo ndo itakufanya uwe mvumilivu, ukiamini ushindi unakuja!

Nafikiri kama ni mfuatiliaji mzuri wa mpira unajua makeke ya Drogba,,, navyo tikisa nyavu kwa pasi za kunyatia.
 
Hivi mnadhani wanawake hawana Vigezo na specification za kuwa na Boy friend kiasi cha kudhani akipata Matatizo basi ukijileta basi unazoa tu?

Kama lengo lako ni kupiga na kupotea hata wao nao some time anataka kukuonja tu kujua utamu wako umeishia kwenye Story tu au mpaka site uko ivo?
 
Huwa najiuliza ivi kumpata mtu.. Unatumia nguvu kubwa sana kwa nini..? Na km mtu ana mtu wake kwa nn umvizie..? Kwa akili ya kawaida si unajiletea migogoro kweny maisha au..?

Simba mwenda pole ndio mla nyama.

Kunanyakati huwezi kumjua mwenye mpenzi na ambae hana labda tu awe ameamua kuwa muwazi.
 
Hivi mnadhani wanawake hawana Vigezo na specification za kuwa na Boy friend kiasi cha kudhani akipata Matatizo basi ukijileta basi unazoa tu?

Kama lengo lako ni kupiga na kupotea hata wao nao some time anataka kukuonja tu kujua utamu wako umeishia kwenye Story tu au mpaka site uko ivo?

Kufa kufaana

Binadamu tunategemeana.

Penzi kiti cha basi ukishuka mtu anakaa.

Adui muombee njaa akipotea kwako furaha.

Hizo nyakati huwa mnasahau specification, mnatafuta faraja.....
 
Simba mwenda pole ndio mla nyama.

Kunanyakati huwezi kumjua mwenye mpenzi na ambae hana labda tu awe ameamua kuwa muwazi.
I think what makes difference is age.. Kina umri ukifika inakua tofauti
 
Hivi mnadhani wanawake hawana Vigezo na specification za kuwa na Boy friend kiasi cha kudhani akipata Matatizo basi ukijileta basi unazoa tu?

Kama lengo lako ni kupiga na kupotea hata wao nao some time anataka kukuonja tu kujua utamu wako umeishia kwenye Story tu au mpaka site uko ivo?

Hbr yako dada..
 
Unawazungumzia mabint gani hao wasiojua umuhimu wa kujipa muda mambo yakienda mrama?
 
Habari ya afya mkuu!!!!

Afya iko bara bara kabisa..nikirudi kwen mada...ni kweli kabisa..kufa kufaana its a natural phenomenon..hao wa kusoma kuanzia kulia kwenda kushoto tuwaache tu
 
Hii theory yako inakaukweli mkuu!!! Sometimes katika haya maisha ni lazima tuwe na moyo wa mapinduzi kama che guavara!!
 
i hate it pale mtu anapoamua kutumia matatzo ya mwenzie kutimiza haja zake.....tuheshimu hisia za wenzetu tafadhali..na hao wanaojifanyaga kuja ku confort kwenye matatizo mara nyingi ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo
mwallu ebu burudika na hii maana umenifanya nikumbuke huu wimbo

 
Last edited by a moderator:
Harakati za mitongozo kuna wakati zinakuwa ngumu kutoka na jinsi unavyo muingia binti. Pamoja na hayo yote lakini kunanyakati zilizo rahisi sana za kumpata binti. Inapotokea binti akawa na migogoro na mpenzi wake huu ni wakati rahisi sana wa kumpata , kwa kutumia maneno mazuri ya kumfariji na kumtia moyo huku yakisindikizwa na mtongozo wako. Wakati binti anapoaachwa na mpenzi wake hii pia ni neema kwa yule ambae atatupa mtongozo wake,hiki kipindi binti huwa hana msimamo anakuwa kama bendera inayofuata upepo unakolekea. Acha kujiona hauna bahati ya kukubaliwa kila unapotupa mtongozo wako unatoka kapa, changamkia fursa hizo kama kuna binti ulikuwa unamfukuzia ukasikia ana mgogoro na mpenzi wake au kaachwa kamata fursa hapo tambaa. Sikufundishi kuwa mviziaji.. Nanyie mabinti kuweni makini yanapotokea mambo hayo, epukana na mitongozo inayojitokeza nyakati hizo, jumba mbovu litakuangukia....
Dakika ya 8 Chelsea wanapata bao la 3. CHELSEA 3-0 PSG.
 
Kwa mtindo huu ngoma itaua wengi sana, maana mtandao ni mkubwa, yaani umtongoze demu aliyepigwa chini..
 
Back
Top Bottom