Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
Harakati za mitongozo kuna wakati zinakuwa ngumu kutoka na jinsi unavyo muingia binti.
Pamoja na hayo yote lakini kunanyakati zilizo rahisi sana za kumpata binti.
Inapotokea binti akawa na migogoro na mpenzi wake huu ni wakati rahisi sana wa kumpata , kwa kutumia maneno mazuri ya kumfariji na kumtia moyo huku yakisindikizwa na mtongozo wako.
Wakati binti anapoaachwa na mpenzi wake hii pia ni neema kwa yule ambae atatupa mtongozo wake,hiki kipindi binti huwa hana msimamo anakuwa kama bendera inayofuata upepo unakolekea.
Acha kujiona hauna bahati ya kukubaliwa kila unapotupa mtongozo wako unatoka kapa, changamkia fursa hizo kama kuna binti ulikuwa unamfukuzia ukasikia ana mgogoro na mpenzi wake au kaachwa kamata fursa hapo tambaa.
Sikufundishi kuwa mviziaji..
Nanyie mabinti kuweni makini yanapotokea mambo hayo, epukana na mitongozo inayojitokeza nyakati hizo, jumba mbovu litakuangukia....