Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,070
Bwana yesu asifiwe
Wakuu Leo bwana nusu nikose ndege ya qatar Airways ya kuelekea qatar.
Wakuu kweli hii ilitaka kuwa aibu ya karne milionea kama mimi nikose ndege? Ila chap nikawapigia makao makuu ya shirika la qatar chap ikanisubiria Kenya uwanja wa moi ndipo mimi nikapanda precision air asubuhi ndipo nikaikuta nikapanda zangu.
Akbar al Baker ni rafiki yangu those days kipindi kile kablahajawa ceo wa qatar Airways alikuwa mkuu wa uwanja wa hamad International Airport lakini akbar ametoboa kunizidi mimi japo mimi pia ni kamilionea japo nina vijisent hapa mjini kwasababu ni share holder wa qatar foundation nina pesa za kutosha I have a lot o money you know it!
You know milion in pocket