Nuru imeniwakia

Nuru imeniwakia

Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Hongera sana (kama ni kweli), kama wewe ni muumini wa kanisa katoliki, basi nakuombea Mt. Martine De Pores awe na wewe, (Ni siku yake ya kumbukumbu kikanisa)
 
Hongera sana sister kila la heri..
Ila kuna baadhi ya madada humu (siwezi wataja) sidhani kama coment zao utaziona maana tayari roho za husda zimawauma
umewaza kama mimi,Mkuu nasikia wanawake hawapendani
 
Mtaongea kama mazuzu yasiyona akili mnataka mtu awape baground eh
Eti ilikuwa hivi vile pumbavuuuu
Nyiw humu ndio mtachunwa na malaya wakikuchoka mtatupwa mitaroni sio kama uchafu ni kama mizoga hamjui kwa sasa mtu mwanaume mweusi kwangu hajui mapenzi naananuka shombo kali hata juzini likuwa nataka kutapika nilivyoseviwa na kima mwenye dudu kananuka naphyumu za bei chee hata maiti ukimpilizia anaamka kupinga.
madam kama uko hivi, mtaani huwezi kupata mme hasa sisi BLACK PEOPLE IN THE NEW WORLD.Samahani lakini
 
Money Penny,sky eclats,miss natafuta na demiss kama nawaona vile mnavyoupita uzi huu kwa misonyo.pamoja na wanawake wote wa jf njooni mmpongeze mwenzenu aisee
 
Money Penny,sky eclats,miss natafuta na demiss kama nawaona vile mnavyoupita uzi huu kwa misonyo.pamoja na wanawake wote wa jf njooni mmpongeze mwenzenu aisee
Inshallah umeongea jambo la kheri ndugu yangu asante kwa maneno yenye faraja na busara.
Ubarikiwe thanks
 
madam kama uko hivi, mtaani huwezi kupata mme hasa sisi BLACK PEOPLE IN THE NEW WORLD.Samahani lakini
Kumbe unaandikiwa maneno ya kheri halafu unanipondea tena nini shida???
Acha hasira best mume nimeshampata utabakia macho kodoo
 
Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema

Hongera jiandae kulala bila nguo za ndani ndio maisha ya kila siku.
 
Kumbe unaandikiwa maneno ya kheri halafu unanipondea tena nini shida???
Acha hasira best mume nimeshampata utabakia macho kodoo
namaanisha una hasira sana na unapenda kumjibu mtu vibaya pale anapokukera,madam wanaume wa bongo hawataki haya mambo ndio maana nikasema ni vigumu kupata black man maana tunapenda kunyenyekewa.
usinichukulie vibaya sina chuki na wewe Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom