I am Bless
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 231
- 518
Na mzungu hadi kakutolea posa wewe ina maana kakupenda kama ulivyo sio ndio uanze kununua vipodozi ili ufanane nae utatimuliwa,
Nasubiri harusi yako na Mjapani.Hongera sana! Mungu akujaalie ndoa njema mpendwa
Sio mzee ni wastani tu nikifanikiwa picha nitazitumaaiseee, kweli nimejibeba hashtag Jibebe challenge' ni agemate, baba ama babu?
Ndio ilikuwa kama zali tu mtu nimepita zangu mahali nawao walikuwa kama group akataka apige picha kidogo akadondosha kitu hakikuwa cha dhamani ila nilihakikisha kapata ndio akafurahi akaniomba mawasiliano ndio hivyo nafurahia nyota imewaka nimefurahi sana.Na mzungu hadi kakutolea posa wewe ina maana kakupenda kama ulivyo sio ndio uanze kununua vipodozi ili ufanane nae utatimuliwa,
Nitakuja huku harusi ni huko halafu huku tunakuja kuishi miaka mitatu halafu ndio huko moja kwa mojaHongera kwa kuwakiwa na nuru, ila ukienda huko usisahau kurudi nyumbani kwa maana "KUMENOGA"
Hongera sana, Mungu akufanyie wepesi katika hatua zinazofuata!!Baraka ya Upendo ikawe kama mvua kwenu.Sio mzee ni wastani tu nikifanikiwa picha nitazituma
Ahaaah vizuri.Nitakuja huku harusi ni huko halafu huku tunakuja kuishi miaka mitatu halafu ndio huko moja kwa moja
Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule..Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Wewe sitaki madharau yako hapa mimi sio katoto kazuri ushindwaji wako wamaisha nanuksi na shida zakutooa .Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule..
Ina maana wewe hunitaki tena?🙆Nasubiri harusi yako na Mjapani.
🤔Mbona unamshadadia sana au wewe ndo ulimblock?😂😂😂Hongera kwa kuwakiwa na nuru, ila ukienda huko usisahau kurudi nyumbani kwa maana "KUMENOGA"
Aisee, naona umeamua kunigeuzia kibao baada ya kunilamba mpaka block ya salamuIna maana wewe hunitaki tena?
Ndo ushaniblock kama alivyofanyiwa mleta mada? Wee haya na mimi nitampata mchina nije nikudolishie hapa![]()
Mbona unamshadadia sana au wewe ndo ulimblock?
![]()
Ngoja nikayajenge na Chumchang Changchum mchina wa kindengereko halafu nitarudi kukujibuAisee, naona umeamua kunigeuzia kibao baada ya kunilamba mpaka block ya salamu![]()
We sema tu ushapata Kamchina kako
![]()
![]()
![]()
Kwaiyo kumpa mtu hongera ndo kushadadia.
Hivi kumbe Jf kuna tekinolojia ya kublock mtu.


Unajifanya hujui eeeh! Ngoja tumuulize vizuri bibie Husband seeker aje atufafanulie juu ya hiyo tekelinalokujiaUnaenda kuyajenga au kupaka rangi?Ngoja nikayajenge na Chumchang Changchum mchina wa kindengereko halafu nitarudi kukujibu
