Naomba Na Mimi niunganishe mzungu plsWazungu wanapenda dread sana tena kwa wasichana
Badili ID mkuuWajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Hapendi tigo wala anapenda kile mwanamke anachopaswa kupewa so utajibeba
Haaaaa haaaaa!Ndio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
Utatuletea japo picha mkuuNdio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
Pia hata mialiko sio mbaya, wanaJF wapo dunia nzimaSio mzee ni wastani tu nikifanikiwa picha nitazituma
hahaaNdio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
hahaaaMzungu, tigo iko salama? ni babu wa miaka mingap?
Kweliii unasema ukwelinamaanisha una hasira sana na unapenda kumjibu mtu vibaya pale anapokukera,madam wanaume wa bongo hawataki haya mambo ndio maana nikasema ni vigumu kupata black man maana tunapenda kunyenyekewa.
usinichukulie vibaya sina chuki na wewe Mkuu
Ni anajua english napia kiswahili anakijua so sina shida alikaa huku sana kuoana ilikuwa kama utani tu.Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kinge utaweza kweli mama?maana baby nae akikasirika kumbembeleza kwa lugha yake nayo ni K.wish you happiness..
Ungemjua huyu ungemuowa.Kuw makini nasikia wazungu hawana najisi.
Ningesema mapema mpenzi ningekupaPia hata mialiko sio mbaya, wanaJF wapo dunia nzima
Sawa nikimpata nitakuambia usijali.Naomba Na Mimi niunganishe mzungu pls
Sawa mama.Ningesema mapema mpenzi ningekupa
Kama kweli uyasemayo ni kweli; naamini aliyekuoa kapata chombo kweli.Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
HahahahaKazi IPO...