Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

I hope ushaelewa

SIJAKUELEWA, somo na mfano haviendani!
1512509_626886237347340_443047339_n.jpg
 
In the beggining there was the word. The word was with God and the word was God. Which i fail to internalize so i discover.
 
sasa nuru ilikuwepo kabla ya mwezi na nyota..ilitoka wapi?

Kuna kitu huwa ninakifananisha na hiyo nuru. Ni mtazamo wangu na sijawahikusikia mtu akiangalia kwa mlengo huo.
Nenda kasome wikipedia "AETHER THEORIES"
Utaelewa nisemacho.
Natumia simu. Nimeshindwa ku-paste hapa.
Kama kuna anayeweza anaweza kusaidia ku-paste.
 
Nimesoma kitabu kinacho kwenda kwa jina hilo.
1. Haitoshi kumwambia akasome hiyo link kwani hajazungumzia nuru kama main topic.
2. Hicho kitabu kiko biased na kuegemea dini moja zaidi.

Huyo aliekiandika hicho kitabu alikiandika alipokuwa Mkristo, hiyo research ya hicho na alipokiandika ndio ikampelekea kuujuwa ukweli na kurudi kwenye Uislaam.

Kitabu unasema kipo biased na mleta hii mada jee? yupo biased? anashangaa hiyo nuru kabla ya jua imetoka wapi? maana scientifically haiingii akilini wala haiwezi kuwa proven.
 
And you truely believe that one dude made the earth? And who made the other billion stars that are being discovered every day? Je Mungu bado yuko katika uumbaji? HUWA NAPATA MUDA MGUMU SANA KUAMINI KAMA KWELI KUNA MTU ANAWEZA KUAMINI KWA DHATI KATIKA MUNGU, INAHITAJI KUJITOA UFAHAMU HASA!



ahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_miafrika ndio tulivyo mkuu....mimi huwa sijui kitu kuhusu haya makitu ya iman hivyo am not in either side mkuu
 
Nimesoma kitabu kinacho kwenda kwa jina hilo.
1. Haitoshi kumwambia akasome hiyo link kwani hajazungumzia nuru kama main topic.
2. Hicho kitabu kiko biased na kuegemea dini moja zaidi.

Bila shaka itakuwa ni dini(utaratibu) wa waarabu mkuu
 
Huyo aliekiandika hicho kitabu alikiandika alipokuwa Mkristo, hiyo research ya hicho na alipokiandika ndio ikampelekea kuujuwa ukweli na kurudi kwenye Uislaam.

Kitabu unasema kipo biased na mleta hii mada jee? yupo biased? anashangaa hiyo nuru kabla ya jua imetoka wapi? maana scientifically haiingii akilini wala haiwezi kuwa proven.

Siogopi kusema dini na sayansi vinategemeana so tunaweza kukopa idea upande mmoja na kuitumia upande mwingine.
 
Siogopi kusema dini na sayansi vinategemeana so tunaweza kukopa idea upande mmoja na kuitumia upande mwingine.

Dini ni kongwe zaidi ya sayans, kwaio sayans imekuja kurudiarudia tu mambo ambayo yalishatajwa ndani ya quran tangia karne ya tano
 
NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.

kama ilivyo andikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)

so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU Mgisa Mtebe

INDRODUCTION​

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);
* Vitu visivyoonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
* Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja

1. Vitu visivyoonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu vinavyoonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na kuumbika. (Waebrania 11:3) '... ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili) viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (wazi wazi)'

Wakorintho 4:18 Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).

2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa rohoni na upande wa mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu vinavyoonekana (mwilini) na upande wa vitu visivyoonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)

3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-photocopy au akai-print) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina original copy na photocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina soft-copy na hard-copy yake (yaani kina upande wa mwilini na wa rohoni).

1Wakorintho 15:44 "Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo"

4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.

BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.

UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO

1. Kumbe Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye jua na mwezi, kwasababu Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati jua na mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika siku ya nne!

2. Kumbe jua si chanzo cha Mwanga au Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali jua ni "kibebeo" tu cha kuleta mwanga duniani, lakini jua si chanzo cha Nuru inayoangaza duniani.

3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9

4. Kwa lugha rahisi; Mwanga au Nuru inayoangaza duniani, ina vyanzo viwili; kimoja ni kipo katika ulimwengu wa mwili na kingine kipo katika ulimwengu wa roho.

5. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo kabla ya Kanuni za Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo, Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.

7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika Ulimwengu wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika Ulimwengu wa roho.

8. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, "Mimi ni Nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."

10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"

11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9

12. Luka 4:1-4 "Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana". kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba, Afya ya mtu haitoki katika mkate tunaokula tu, bali kwa katika Neno litokalo katika kinywa cha Bwana Mungu.

Mkuu, nuru anayoizungumzia Yesu siyo ile tuinayo kwa macho bali ni yeye kuwa njia na kweli(nikizungumza kidini).
Siyo nuru anayozungumzia Uran.
 
Dini ni kongwe zaidi ya sayans, kwaio sayans imekuja kurudiarudia tu mambo ambayo yalishatajwa ndani ya quran tangia karne ya tano

Yeah...kama quran ilivyokuja rudiarudia yaliyo andikwa kwenye biblia,...sema wakaongeza madoido ya kuimba kwa mashairi lakn hamna kitu kipya kwenye quran zaidi ya copy and paste ya bible,....uislam na quran ni vya juzi tu
 
]Dini ni kongwe zaidi ya sayan[/COLOR]s, kwaio sayans imekuja kurudiarudia tu mambo ambayo yalishatajwa ndani ya quran tangia karne ya tano

Dini ipi unayosema ni kongwe kuliko sayansi mkuu,...maake uislam ni wa juzi sana ingawa mnajifanya vichwa ngumu(hamanazo) kusema hata adam na hawa walikuwa waislam...kweli inahitaji ujuha wa hali ya kuamini haya mambo.
 
Back
Top Bottom