Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light. Allah, the Almighty, says: [Blessed be He Who has placed in the heaven big stars, and has placed therein a great lamp (sun), and a moon giving light.] (Al-Furqan: 61)
And, [
And We have made (therein) a shining lamp (sun).] (An-Naba': 13)
The Scientific Facts:
The energy of the sun (universal atomic pile): The energy of the sun is generated by the burning of hydrogen, which is the main constituent of the sun that transforms it into helium deep within, where there is very high density, pressure, and temperatures reaching 15,000,000°. This leads to a nuclear reaction and fusion of four hydrogen atoms to make one helium atom. The leftover energy from this reaction is released in the form of electromagnetic energy divided into short wave rays, infrared rays, and ultraviolet rays.
This means that the sun obtains its energy from within through natural nuclear reaction under very high pressure, heat, and density as if it is a mega atomic pile made to provide earth with light, warmth, and energy.
The sun is considered a star and is a luminous celestial body, whereas the moon is a planet; a dark celestial body that reflects the light it receives from stars and the sun as do all the other natural satellites of the planets (the moons).

Facts of Scientific Inimitability:
More than fourteen centuries ago, the Ever-Glorious Qur'an indicated the difference between stars and planets exemplified in the difference between the sun and the moon.
Modern astronomers only discovered this fact recently after the telescope was invented and after applying photometric and spectrogram researches on stars and planets.
Stars are luminous celestial bodies whereas planets are dark celestial bodies that reflect the light received from stars and the sun as do all other natural satellites of the planets and (moons).
The sun is a mega atomic pile swimming very fast in space and has many various forms of light, heat, and energy. It is not just a bright disk; rather it is like a shining lamp, whereas the moon is a planet that reflects the light of the sun to lighten the night on earth.
This fact was described in these two honorable verses fourteen centuries ago, then we must ask ourselves, who told Prophet Muhammad r about it but Allah, the Most High!

Source: The Sun is a Great Lamp, and the Moon Gives Light

The Moon does not actually give light!!!...Halafu samani mkuu, kwa nini hapo anatumia wingi?.."And we have made"!!
 
NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.

kama ilivyo andikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)

so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU Mgisa Mtebe

INDRODUCTION​

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);
• Vitu visivyoonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
• Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja

1. Vitu visivyoonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu vinavyoonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na kuumbika. (Waebrania 11:3) ‘… ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili) viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (wazi wazi

Wakorintho 4:18 Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).

2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa rohoni na upande wa mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu vinavyoonekana (mwilini) na upande wa vitu visivyoonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)

3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-photocopy au akai-print) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina original copy na photocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina soft-copy na hard-copy yake (yaani kina upande wa mwilini na wa rohoni).

1Wakorintho 15:44 “Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo”

4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.

BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.

UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO

1. Kumbe Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye jua na mwezi, kwasababu Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati jua na mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika siku ya nne!

2. Kumbe jua si chanzo cha Mwanga au Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali jua ni “kibebeo” tu cha kuleta mwanga duniani, lakini jua si chanzo cha Nuru inayoangaza duniani.

3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9

4. Kwa lugha rahisi; Mwanga au Nuru inayoangaza duniani, ina vyanzo viwili; kimoja ni kipo katika ulimwengu wa mwili na kingine kipo katika ulimwengu wa roho.

5. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo kabla ya Kanuni za Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo, Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.

7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika Ulimwengu wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika Ulimwengu wa roho.

8. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni Nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”

10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"

11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9

12. Luka 4:1-4 “Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana”. kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba, Afya ya mtu haitoki katika mkate tunaokula tu, bali kwa katika Neno litokalo katika kinywa cha Bwana Mungu.

naomba namba yako
 
NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.

kama ilivyo andikwa "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)

so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU Mgisa Mtebe

INDRODUCTION​

Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);
• Vitu visivyoonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
• Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja

1. Vitu visivyoonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu vinavyoonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na kuumbika. (Waebrania 11:3) '… ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili) viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (wazi wazi)'

Wakorintho 4:18 Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).

2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa rohoni na upande wa mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu vinavyoonekana (mwilini) na upande wa vitu visivyoonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)

3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-photocopy au akai-print) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina original copy na photocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina soft-copy na hard-copy yake (yaani kina upande wa mwilini na wa rohoni).

1Wakorintho 15:44 "Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo"

4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.

BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.

UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO

1. Kumbe Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye jua na mwezi, kwasababu Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati jua na mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika siku ya nne!

2. Kumbe jua si chanzo cha Mwanga au Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali jua ni "kibebeo" tu cha kuleta mwanga duniani, lakini jua si chanzo cha Nuru inayoangaza duniani.

3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9

4. Kwa lugha rahisi; Mwanga au Nuru inayoangaza duniani, ina vyanzo viwili; kimoja ni kipo katika ulimwengu wa mwili na kingine kipo katika ulimwengu wa roho.

5. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo kabla ya Kanuni za Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo, Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.

7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika Ulimwengu wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika Ulimwengu wa roho.

8. Chanzo cha Nuru cha rohoni, kilikuwepo kabla ya chanzo cha Nuru cha mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha Nuru cha kimwili kinatawaliwa na chanzo cha Nuru cha kiroho.

9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, "Mimi ni Nuru ya ulimwengu. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."

10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"

11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9

12. Luka 4:1-4 "Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana". kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba, Afya ya mtu haitoki katika mkate tunaokula tu, bali kwa katika Neno litokalo katika kinywa cha Bwana Mungu.

Hahahahaha, loh! Inahitaji mtu asiyepitia hata darasa la saba kuimeza hii! bwahahahahah.
 
The Moon does not actually give light!!!...Halafu samani mkuu, kwa nini hapo anatumia wingi?.."And we have made"!!

Sun Lamp, Moon giving (reflecting) light not "producing" light like lamp. Upo hapo ulipo?

Anatumia wingi, kwa sababu alikuwa pamoja na Yesu wanaifanya hiyo kazi. Au una jingine.

By the way, na pale Malkia wa Uingereza anaposema WE The Queen of England huwa anamaanisha yupo na wewe ukimsaidia kazi zake.

Tatizo kubwa nnaloliona ni shule uliyokwenda, badala ya kukupa ilmu imekupa ujinga.
 
Kazi ndio kipimo cha Utu,

Eeeh bwana weee jina kubwa sana hili na sijui kama wengi tunalichukulia uzito wake.

Na hakika nakubaliana na wewe sana toka jina ambalo limefaa sana kulingana na kijiwe hiki. Bila kazi hakuna utu, bila kazi hakuna uzalishaji na wala hilo neno biashara na uchumi zitabaki hadithi za simulizi....

Tunarudi kulekule ktk swali letu la Uhuru, ikiwa Afrika na hasa TZ bado hatujapata Uhuru zaidi ya huo wa hewa, tutaijenga vipi nchi yetu na imani ya Utandawazi?

Jamberi,

Ndugu yangu hakika umenipa somo!...

Maelezo yako yanatisha pamoja na kwamba ndio ukweli wenyewe...Kusema kweli Afrika kila kiongozi huingia Ikulu kutatua matatizo yaliyoachwa na kiongozi aliyemtangulia...Leo hii tunaona JK akijifunga kibwebwe kufagia machafu yote ya Mkapa, wala hatufahamu itachukua muda gani ufagizi huu na kwa kipindi gani patakuwa safi!... Hapo hapo hakuna maandalizi la kuhakikisha uchafu huo haurudi tena yaani ufagiaji unatupiwa chini ya uvungu. wakati zoezi la kusaka majambazi linaendelea Dar huko mikoani hakuna kitu.. yaani majambazi yanakimbia na kujichimbia bara. Hakuna mpango wa kuhakikisha wananchi wanapewa vitambulisho vya uraia nje ya passport!..hatuna data base ya aina yeyote zaidi ya akaunti ktk benki zetu. Hakuna jitihada za kuhakikisha mishahara haitolewi kwa fedha taslimu na wazawa wanapewa nafasi kwanza mbele ya mgeni. Vitu kama hivi vidogo vidogo lakini vinaweza kabisa kuleta mabadiliko makubwa.

Nafikiri, kulingana na maelezo yako hapo juu kuhusu Uhuru wetu, labda dawa - Watawala wa wilaya hadi mikoa wanatakiwa warudi ma-chief ambao walikuwa na uchungu na himaya zao na kulingana na tamaduni za mwafrika nimegundua kwamba kila kiongozi aliyeshika madaraka (rais na mawaziri) ameweza kuleta mabadiliko kwao zaidi. Sio rais wala waziri wote wamejenga makwao na wale ambao hawakufanya hivyo basi wamejenga kwa mke ambako kapewa ufalme mdogo wa nyumba. Kuna haja ya kuwa na senate inayoongozwa na machief badala ya viongizi wa vyama vya kisiasa ambao wanazidi kututenganisha siku hadi siku.

Mjibu vizuri...anataka kusoma kutoka kwako
 
Mjibu vizur...anataka kusoma kutoka kwako
 
Sun Lamp, Moon giving (reflecting) light not "producing" light like lamp. Upo hapo ulipo?

Anatumia wingi, kwa sababu alikuwa pamoja na Yesu wanaifanya hiyo kazi. Au una jingine.

By the way, na pale Malkia wa Uingereza anaposema WE The Queen of England huwa anamaanisha yupo na wewe ukimsaidia kazi zake.

Tatizo kubwa nnaloliona ni shule uliyokwenda, badala ya kukupa ilmu imekupa ujinga.

A grat lump, and a moon giving light; sijaona sehem iliyoandikwa A great lump giving light and a moon reflecting. Naona unajaribu kuforce tafsiri.
Madrasa yako ndiyo imekufundisha kumfananisha Mungu wako na Malkia?
 
Wala hutaiona. Kwani hakuna kitu kama hicho.

Ndio ilinifundisha hivyo, wewe madrasa yako ilikufundisha " A grat lump"? ndio nini hicho?
 
The Moon does not actually give light!!!...Halafu samani mkuu, kwa nini hapo anatumia wingi?.."And we have made"!!

Allah anatumia neno "sisi" kwa maana ya wingi ni kutokana na utukufu wake kwa alivyo viumba na hakuna alieshirikiana nae au kumsaidia. Utukufu au cheo hicho kikubwa kinakua na wingi japo aliefanya hivyo ni mmoja, mfano raisi atasema "tunatarajia kuanzisha mradi wa maji utakaowasaidia wengi", ukweli kama raisi ni yeye ndie aliefanya huo mradi ila anasema 'tunatarajia' na sio 'ninatarajia', au hata wewe hapo kama kuna mtoto mtaani amekukosea utamwambia "tumekulea sisi tangu ukiwa mdogo, tukakupeleka shule tukiwa tunakuona, leo unaona umekua" hapo utakua umetumia wingi kuonyesha ukubwa wako na kumdogosha huyo mtoto. Sijiu umeelew?
 
Umeanza vizuri lakini umekuja kuharibu kwenye mfano, Urais ni Taasisi, Je uMungu nao ni taasisi? Rais anaposema "Tunalifanyia kazi suala hili" inamaana mchakato unahusisha maafisa mbalimbali walio chini ya ofisi yake.
 
Wala hutaiona. Kwani hakuna kitu kama hicho.

Ndio ilinifundisha hivyo, wewe madrasa yako ilikufundisha " A grat lump"? ndio nini hicho?

Haujaelewa? Au unajaribu kuwa spelling and grammar Nazi kwenye internet!! bwahahahaha
 
Umeanza vizuri lakini umekuja kuharibu kwenye mfano, Urais ni Taasisi, Je uMungu nao ni taasisi? Rais anaposema "Tunalifanyia kazi suala hili" inamaana mchakato unahusisha maafisa mbalimbali walio chini ya ofisi yake.

Nilitaka tu uelewe kwanini Allah anatumia wingi. Kama mwanzo umeelewa soma mpka ulipoelewa huko mwisho acha sijakuambia unisahihishe
 
Sijakusahihisha, najaribu kuunganisha somo na mfano, kam uko sahihi ulitakiwa kusema uko sahihi, na kama hauko sahihi ulitakiwa kusema ili nielewe! UTUKUFU=WINGI!!!!...:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Aisee we jamaa ni noma sana

Umejibu majibu mazito mno, kama ni spana ya kufungulia baiskeli basi wewe ni ile spana mafundi baiskeli tunaitaga "spana mbaula"

kaandika andika tu mkuu hajajibu swali moja kwa moja..au kafanya tafsiri nyingine tofauti na mada
 
[color=#red] Umeanza vizuri lakini umekuja kuharibu kwenye mfano, [/color]Urais ni Taasisi, Je uMungu nao ni taasisi? Rais anaposema "Tunalifanyia kazi suala hili" inamaana mchakato unahusisha maafisa mbalimbali walio chini ya ofisi yake.

I hope ushaelewa
 
Umeanza vizuri lakini umekuja kuharibu kwenye mfano, Urais ni Taasisi, Je uMungu nao ni taasisi? Rais anaposema "Tunalifanyia kazi suala hili" inamaana mchakato unahusisha maafisa mbalimbali walio chini ya ofisi yake.
I hope ushaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom