NB. MAADA HII NI YA KIROHO ZAIDI. KWA MAANA HIYO MAJIBU HAYA YATAELEWEKA VIZURI SANA KWA WALE WA KIROHO. ILA YATALETA CONTRADICTIONS NYINGI KWA WATU SAWASIO WA KIROHO.
kama ilivyo andikwa "
Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni. (1wakorintho 2:14)
so SOMA VIZURI HII... NIME-COPY and paste FROM MWALIMU
Mgisa Mtebe
INDRODUCTION
Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya
Namna kuu mbili (2);
&[HASHTAG]#8226[/HASHTAG];
Vitu visivy
oonekana (ulimwengu wa kiroho) - the imaterial things
&[HASHTAG]#8226[/HASHTAG];
Vitu vinavyoonekana (the universe) -the physical world
Na vyote viko kwa pamoja
1. Vitu
visivy
oonekana (vya ulimwengu wa roho) ndivyo vilivyosababisha vitu
vinavy
oonekana (vya ulimwengu wa mwili) kutokea na
kuumbika. (Waebrania 11:3) &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];
ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, na vitu vinavyoonekana (vya kimwili)
viliumbwa kwa vitu visivyo dhahiri (
wazi wazi)'
Wakorintho 4:18
Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya
kimwili)
ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).
2. Kwa lugha rahisi ni kwamba, ulimwengu huu, una pande mbili. Yaani upande wa
rohoni na upande wa
mwilini. Ni ulimwengu mmoja, ila una pande mbili. Yaani upande wa vitu
vinavy
oonekana (mwilini) na upande wa vitu
visivy
oonekana (yaani vya rohoni); lakini vyote viko hapa hapa, viko pamoja!(2Wakorintho 4:18)
3. Kwahiyo, Mungu alipoumba dunia, aliiumba katika
ulimwengu wa kiroho kwanza, na alipoikalimisha rohoni, ndipo akaizaa (akai-p
hotocopy au akai-p
rint) katika ulimwengu wa mwili. Kwahiyo, kila kitu duniani kina
orig
inal cop
y na p
hotocopy yake. Au kila kitu unachokiona duniani, ujue kina
sof
t-copy na
hard-copy yake (yaani kina upande wa
mwilini na wa
rohoni).
1Wakorintho 15:44 "
Ikiwa kuna mwili wa asili, Basi na mwili wa roho pia, upo"
4. Kwahiyo, ukiona jambo limetokea mahali fulani leo, usije ukafikiri limeanza leo, hapana; Ukweli ni kwamba, leo ndio jambo hilo limejitokeza, lakini mbegu yake ilipandwa huko rohoni siku kadhaa zilizopita.
BAADA YA HAPA NOW UNAWEZA KUELEWA YAFUATAYO.
UKISOMA VIZURI Mwanzo 1:1-5, 14-19 UTAGUNDUA HAYA YAFUATAYO
1. Kumbe
Nuru ya Ulimwenguni, haitoki kwenye j
ua na
mwezi, kwasababu
Nuru ilikuwepo tangu siku ya kwanza wakati j
ua na
mwezi viliumbwa baadaye kabisa katika
siku y
a nne!
2. Kumbe j
ua si chanzo cha
Mwang
a au
Nuru inayoangaza ulimwenguni, bali j
ua ni "
kibebeo" tu cha kuleta mwanga duniani, lakini j
ua si chanzo cha
Nuru inayoangaza duniani.
3. Nuru - to- Jua - to- Mwanga
(Yesu/Neno)Yoh 1:7-9
4. Kwa lugha rahisi;
Mwang
a au
Nuru inayoangaza duniani, ina
vy
anzo viwili; kimoja ni kipo katika
ulimweng
u wa mwili na kingine kipo katika
ulimweng
u wa roho.
5. Chanzo cha
Nuru cha
rohoni, kilikuwepo
kabla ya chanzo cha
Nuru cha
mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha
Nuru cha
kimwili kinatawaliwa na chanzo cha
Nuru cha
kiroho.
6. Hii ina maana kwamba; Kanuni za Kiroho zilikuwepo
kabla ya Kanuni za
Kimwilini kuwepo. Kwa hiyo,
Kanuni za Kiroho ndizo zinazotawala
Kanuni za Kimwili za Ulimwengu huu.
7. Hii ina maana kwamba; Hakuna kitu kinachofanyika katika
Ulimweng
u wa mwili, mpaka kimefanyika kwanza katika
Ulimweng
u wa roho.
8. Chanzo cha
Nuru cha
rohoni, kilikuwepo
kabla ya chanzo cha
Nuru cha
mwilini kuwepo. Kwahiyo, chanzo cha
Nuru cha
kimwili kinatawaliwa na chanzo cha
Nuru cha
kiroho.
9. Yohana 5:12 Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, "
Mimi ni Nuru y
a ulimweng
u. Mtu ye yote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima."
10. Yohana 3:16-20, mstari wa 19 unasema "Hii ndiyo hukumu kwamba:
Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda g
iza kuliko
Nuru kwa sababu matendo yao ni maovu"
11. Nuru produced Jua , and jua produced Mwanga
(Yesu/Neno) Yoh 1:7-9
12. Luka 4:1-4 "
Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila
Neno litokalo katika
kiny
wa cha Bwana". kwahiyo its from Neno to Mkate to Afya. Hii pia ina maana kwamba,
Afy
a ya mtu haitoki katika
mkate tunaokula tu, bali kwa katika
Neno litokalo katika
kiny
wa cha Bwana Mung
u.