Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Mtani nijibu vizuri bado sijaelewa au niagizie wewe hiyo safety shoes nikulipe tsh ngapi
 
Nimeagiza since June 22, naona mapichapicha tuu
Adjustments.JPG

View attachment 1524844
 
Haya ndo mambo..

Ila wakumbushe kabla hawajanunua wawe wanasoma maelezo ya kitu vizuri mtu asijenunua kitu used akaanza lalamika.. Tena wakumbushe wawe wanachat na muuzaji akiona hajaelewa au anahitaji maelezo ya kutosha..

Maana unaweza agiza kava la simu badala ya simu..
 
Naomba mniwie radhi nilipata dharura ya msiba lakini tumemaliza salama na nimerejea.

Tofauti ya registered parcel na unregistered unregistered ni thamani ya mzigo
Muuzaji ili kuepuka hasara ya kulipa pindi mzigo ukipotea basi huamua kuuandikisha na kulipa kodi zote muhimu ili iwe ni rahisi kuufiatilia popote duniani (tracking)

Hivyo basi vifurushi vya pesa kubwa huwa registered na vile vya pesa kidogo hupotezewa
 
Back
Top Bottom