Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,640
- 697,963
- Thread starter
- #161
Wadau msaada naomba kujuzwa njia za ulipaji wa bidhaa kupitia aliexpress
Nata kutumia MasterCard kupitia bank kama crdbTumia mastercard mkuu.Tengeneza m pesa mastercard au airtel master card .mda wa kulipia unaingiza namba za kadi yako then pesa itakatwa.
Hakikisha wakati huo umeweka pesa kwenye kadi yako.