Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
777
923
Habari wadau JF,

Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwa nini watanzania tunashindwa kutumia tekinolojia kufanya biashara (digital Marketing) kwanini tuko nyuma kilakitu tunakwama wapi?

Tubadilike twende na wakati, karne ya 21 watu bado tunajilundika sehemu moja tena njiani tunafunga njia kuna baadhi wanajifanya machinga kumbe wezi kazi yao kuchomolea watu simu na pesa kwanini tunashindwa kuanzisha platform na kufanya biashara tukalipa kodi bila kuasabisha usumbufu kwa mtu mwingine,Kuna fursa nyingi sana mtandaoni

Machinga wengi wana smartphone kunasababugani kushinda juani au kunyeshewa mvua kwa nini wabongo ungia mitandani na kufanya mambo siyo na tija ?

WATANZANIA PIA TUBADILIKE ILI TWENDE SAWA NA MACHINGA
Nfano mtu anataka Bunju anakwenda kariakoo kunua kitu kimoja anapanda magari mengi kwenda kufika kariakoo utapoteza muda nauli msogamoano foleni unaenda kutengeza msogamano pia unaweza kuibiwa vilevile kwanini usiingie mtandaoni ukaagiza ukaletewa kwanini tunashindwa kufanya online business muuzaji akapata pesa yake mnunuzi akapata bidhaa yake na Serkali ikapata kodi yake kwaushindani ili kupunguza bei za bidhaa kupanda bila sabu.

Mtu mwingine anatoka mkoani anaenda Dar kununua mzigo wa laki moja tu utakula bei gani utalala bei gani utatumia nauli bei gani? kwanini usinunue mtandaoni ukaletewa mkoani kwenu

kuna baadhi ya Matepeli wako kwenye mitandao ya kijamii wanafanya utapeli na kubabaisha watu nakuchafua onile business kwenye jamii na kuonekana kama utaeli japokua hawa dawa yao ni ndogo sana naweza sema ni changamoto kila jambo linachangamoto zake.

Kuna baadhi wanafanya biashara zao kwenye mitandao ya Facebook Tweeter wapo kitambo hata blog ya kuweka kazi zao wameshindwa wamelidhika namitandao ya watu wengine pale nisehemu ya kutafuta wateja na kuwapeleka kwenye platform yako unapaswa uwekeze kwako angalau kidogo ulipie gharama kama unavyolipia frem ya duka upate uchungu na utoe ajira kwa Watanzania wenzako wa IT na wengine kuna muda utafika wenye mitandao yao watabadili gia utakuja hapa kulilia na kuwa machinga wa watandaoni tengeza platform yako tangaze kwenye mitandao ya Mabeberu upate wateja wako usijenge nyumba ndani ya nyumba ya mwenzio kuna siku mwenyewe atakuzingua

WATUMIJA WA MITANDA YA KIJAMII BADILIKA PIA
Watumiaji wa mitandao ya kijamii tunajindanganya tunajiona kama tumefika nfano kunasiku nilienda dukani kwa dada moja anauza nguo nikamuuliza aina fula zanguoa akaniju ingia kwenye page yanga ya insta utakuta nguo zote kisha chagua nikamuliza nitafikaje napanda gari lawapi akinimba mtu mwenye mshamba, masiki dada anauza nguo mzuri hata blog yake nyenye domain ya jina la bishara yake hana kisha najiona mjanja jamani watanzania tubadilike tupende vitu vyetu.

Watu wenye maguroup facebook acha ujinga wakutoza machinga pesa kupost bidhaa zao utafikiri kunachamchango wa maana mlichangia mwenye facebook yake akilifula za ajabu ajabu ujanja ujanja mwingi ukimuuliza umewekeza bei gani kwenye group unanyanayasa watu hata mia yale magrup ni bure tuache akili za kitegemezia pia tuache rohomba na kutumia njia za mkato kupata pesa..

Watanzania kwaninia tunashindwa kuungana na kufanya jambo letu likanyooka kama baadhi ya nchi wanavyofanya na kufanyikiwa kujiletea maandeleo

Kwanini tunapingana wenyewe lakini mtu akikwama kidogo nauli kituoni awezi kwenda nje ya nchi kuomba nauli ya kurudi nyumbani utasikia oyaa kingozi nimekwama mishe zimebuma naomba jero nirudi home akipata mingo anachuka VASA card anafanya malipo ya matangazo ya biashara yake Marekani kisha anawasimlia wenzake alivyo mjanja.

Kuna watu wametengeneza platform kwetu mzuri sana zina features amabazo zinaendana na mazigira yetu ya Kiatanzania zinaondoa udanganyifu na kuongeza ajira lakini tunazikataa bila hata kuzitumia utasikia watu wanauliza offisi zenu ziko wapi mnapatikana wapi mbona kama wageni hivi sijawai kuwasikia mkowapi vile jiulize swali wewe unayemkejeli mwenzako, hapo faceboo unakoshinda unajua office zao zilipo au za Tweeter zilipo utupeleke na sisi tupajue, utaonekana mshamba kutumia platforms za hapa bongo wakati platifroms za mbele ziko nyingi matokea yake tunapunguza ajira mzunguka wapesa na kodi angalia YouTube Facebook Instagram wavyopiga pesa hizo pesa zilitakiwa zibaki kwetu kwenye nchi yetu zinazunguka hapa matoke yake platforms za ndani tunazipiga vita zinakosa sapoti na kufungwa hii sio akili hata kidogo.

Mwsisho tuanzishe kampeni ya kutangaza vitu vyetu wenyewe tulinde ajira zetu tununue vitu vyetu tuyatumie makampuni yetu leo tunazungumza machinga kesho utasikia tukio lingine tujifunze kutonaka na matukio ikiwezekana tutaje platforms zijulikane na zakitapeli zajulikane machinga waanze uza bidhaa zao.

Serali itufunguli Gateways kama Paypal na zingine tutafute masoko nje tupokee pesa kutoka nje tuache kuwa Taifa la ajabu
 
Habari wadau JF,

Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini watanzania tunashindwa kutumia tekinolojia kufanya biashara (digital Marketing) kwanini tuko nyuma kilakitu tunakwama wapi? Tubadilike twende na wakati, karne ya 21 watu bado tunajilundika sehemu moja tena njiani tunafunga njia kuna baadhi wanajifanya machinga kumbe wezi kazi yao kuchomolea watu simu na pesa kwanini tunashindwa kuanzisha platform na kufanya biashara tukalipa kodi bila kuasabisha usumbufu kwa mtu mwingine,Kuna fursa nyingi sana mtandaoni

Machinga wengi wana smartphone kunasababugani kushinda juani au kunyeshewa mvua kwanini kwenye wabongo ungia mitandani na kufanya mambo tofauti na yakuongeza kipato au biashara?

WATANIA PIA TUBADILIKE ILI TWENDE SAWA NA MACHINGA

Mswahili mjuaji sana alafu mbele kiza
 
Habari Leo tuna offa kwa wafanya biashara wapya ukipost bidhaa zako kwenye website yetu unapata 10,000 kwa mwezi bure karibu sana
 
Umetupa point za maana sana,ila uandishi wako unahitaji marekebisho mengi.

Back
Top Bottom