Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Ndio imekamilika Kiongozi,
Alafu pia Hii Dtb prepaid Master Card ni Kwa ajili ya kufanya Malipo Mtandaoni Ipo special Kwa ajili ya Kazi hiyo lakini nashangaa why inagoma
Itabidi nitafute Card ya Equity naona wengi wanawasifia wapo vizuri kwenye kufanya Malipo online
Pole sana
 
Wadau wa JF za jioni. Napenda kujua au kupata uhakika kwa wale ambao umekwisha agiza mzigo wowote toka AliExpress hapa Tanzania unakufikia kwa muda gani. Na changamoto ambazo zinapatikana katka kuupata mzigo!?
 
Wadau wa JF za jioni . Napenda kujua au kupata uhakika kwa wale ambao ummekisha agiza mzigo wowote toka AliExpress hapa tanazania unakufikia kwa muda gani. Na changamoto ambazo zinapatikana katka kuupata mzaigo!?
Pole sana naona uzi wako upi ziii,

Anyway,
Muda wa kufika mzigo unategemea, aina ya shipping. Ukitumia premium kama DHL, TNT, FEDEX ni fasta sana most of the time within 7-10 days.

Ukitumia hizi free shipping ni mpaka siku 45

Ila kutokana na Corona sometimes free inafika 90+days.
 
Humu JF taarifa za manunuzi mtandaoni zishadadavuliwa vya kutosha , hasa AliExpress, Alibaba , eBay na Amazon....ni uzembe Tu wa kuzitafuta thread ...mtoa mada acha uvivu
 
Pole sana naona uzi wako upi ziii,

Anyway,
Muda wa kufika mzigo unategemea, aina ya shipping. Ukitumia premium kama DHL, TNT, FEDEX ni fasta sana most of the time within 7-10 days.

Ukitumia hizi free shipping ni mpaka siku 45

Ila kutokana na Corona sometimes free inafika 90+days.
Aise kaka ni kweli mimi nina order zangu za tangu December mpaka leo march inakatikaa sijapata taarifa ya kufika mzigo wangu. Sellers wameniongezea protection period mara mbili
Nafikiria niende posta nikawaulize kama package yangu imefikaa
 
Pole sana. Mimi mzigo ulikaa karibia 4months, nakumbuka august to December,

December mwanzoni niliopt refund wakanilipa ila baadae nikatumiwa mesej na post kwenda chukua mzigo.

Kwa hasira hela sikurudisha. Nikala mzigo wa bure
 
Mm nilifungua refund seller akani bembeleza ni cancel nika cancel ..
Seller wa pili nikimwambia sija pata feedback yeyote ya mzigo wangu yy anaongeza protectiin period yaan majanga majanga
 
Dadeki..😅

Ukitaka ufike mapema zaidi tumia wasafirishaji Kama dhl n.k ila gharama zake usinune.. halafu mbona imekuchukua muda mrefu hivyo maana najua free shipping huwa ni mwezi Sasa wewe duh! Au ndo tuseme corona..😜
Niliwahi kuagiza na kampuni moja ya kichina mzigo walinambia ndani ya mwezi utakuwa umefika cha ajabu 2 uliisha na mzigo ulikuwa bado haujafika.
 
Wakuu naomba niwaulize hivi ukitumia aliexpress standard shipping kwa mwaka huu 2021 hutumia average ya kama siku sngapi kusubiri kwa bidhaa kama simu, wazoefu mnipe msaada hapa kabla sija agiza.
 
Wakuu, mimi nataka kufahamu nikiagiza simu ya iphone 11, toka USA ikifika hapa bongo kwa EMS, ni kodi au malipo kiasi gani nitalipia kuitoa simu hiyo? Wenye uzoefu pls?
 
Back
Top Bottom