Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

1444431404948433626.jpg
 
Uzi mzuri lakini naona bdo mshana hajakata kiu ya wadau wengi mana naona akiulizwa anakijib kwa kifup bila ufafanuz mkubwa au anasema ana kaz hivo atakuja jibu kwa kiref lkn hafany hivo....naona watu wengi wanataka sn kujifunza lkn bado majibu sio ya kushiba na kusaidia watu..naomba hilo mshana na wengine wenye uzoefu mlione
 
Kuna mizigo ya aina mbili
Ukiwa ni register hulipii kama sio register unalipia..mimi sijawahi kulipia zaidi ya elfu 5
Fafanua kidogo kuhusu register na vipi kama nikitumia DHL wataweza kuniletea mzigo mpka mwanza au lazima nikauchukulie Dar
 
Fafanua kidogo kuhusu register na vipi kama nikitumia DHL wataweza kuniletea mzigo mpka mwanza au lazima nikauchukulie Dar
Nitafafanua nikimpata mtu wa posta ..watakuletea kwa anuani uliyowapa
 
Umeshapokea mzigo
hapana bado ..
na nimejaribu kucheck kwenye website ya posta kuna huduma ya kutrack mzigo wako kama umefika inaonekana hakuna info yoyote kwamba labda ulishafika pale.

nilimtafuta yule seller mmojawapo naona ni waelewa wamesema watatuma tena ila mmoja nime open dispute waweze kuni refund.
 
Umechukua hatua sahihi
 
Mshana umeanza uzi vizuri tu ila hujaweka maelekezo jinsi ya sisi washamba wa kishimundu tunaweza agiza ..
 
Back
Top Bottom