Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,590
- 18,633
- Thread starter
- #3,981
View attachment 1820036
Kwa manunuzi ya vitabu Angalia hapa: https://amzn.to/3gEEtdp
--
View attachment 1820040
View attachment 1820036
Kwa manunuzi ya vitabu Angalia hapa: https://amzn.to/3gEEtdp
--
View attachment 1820040
RCM loader type C
Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.vipi naweza Kuagiza
Ndio hiki mkuu, japo sikutarajia kitafika dola 27 ngoja nikiandalie hela ya ziada tutajuzana hapa hapa.Je ni hiki kifaa EBAY?V5 RCM Loader Host Payload Injector for NS compatible with ATMOSPHERE REINX SXOS | eBay
Find many great new & used options and get the best deals for V5 RCM Loader Host Payload Injector for NS compatible with ATMOSPHERE REINX SXOS at the best online prices at eBay! Free shipping for many products!www.ebay.com
Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.
Hujanilipahela zangu, zaidi ya mwaka sasa, kipindi kile ulisingizia korona, mbona hawa unazuga kuwaagizia.Je ni hiki kifaa EBAY?V5 RCM Loader Host Payload Injector for NS compatible with ATMOSPHERE REINX SXOS | eBay
Find many great new & used options and get the best deals for V5 RCM Loader Host Payload Injector for NS compatible with ATMOSPHERE REINX SXOS at the best online prices at eBay! Free shipping for many products!www.ebay.com
Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.
CC Mwl.RCTHujanilipahela zangu, zaidi ya mwaka sasa, kipindi kile ulisingizia korona, mbona hawa unazuga kuwaagizia.
Kama umelipwa refund, kwanini hunirejeshei? au na hawa unataka kuwatapeli?
Ninakudai zaidi ya laki tano na nusu naona unajisahaulisha.
6.7" Original For Samsung Galaxy A70 LCD Screen Touch DigitizerSamsung a70
duuuh bei naona zinalingana huku niliambiwa 250000 mkuuJe huku wanauza kiasi gani?
ndicho nilichofikiria mkuu kko wahuni sana wale.ngoja nifanye maarifa nichukue hiyo 159000 naona inanifaa sanaUliza aina ya kioo, isije ikawa unauziwa OLED ambayo unapata kwa TZS. 159,000