Karibuni kwa bidhaa mbalimbali za household na mapambo

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,956
6,887
Habari yenu wakuu, Katika harakati za kuendelea kujitafuta ndipo nimepata wazo la kuwaletea huu uzi ambao unaweza kuwasaidia watu wengi kujipatia bidhaa zitakazoweza kuwatatulia changamoto majumbani mwao au kuongeza muonekano mzuri wa majumbani mwetu tukiachana na mashuka na mapazia humu utajipatia
•Sofa covers
•Mattress Covers
•Shoe racks
•Carpets
•Coffee tables
•Home Trolley
•Door mats
•Tv broadcast tables
•Chairs
n.k


Nipo Dar es Salaam, Nime-base na online selling pekee kwa sasa Kwahiyo kuna huduma za deliveries kwa wateja wote waliopo ndani ya jiji na malipo yanaweza kufanyika baada ya kufikiwa na mzigo.

Kwa wale mlio nje ya Dar malipo yanakuwa ni kabla ya kuutuma mzigo wako, ili kuepusha usumbufu na kupotezeana muda.

WhatsApp no: 255685269533
Instagram: @flameinteriors
Karibuni
 
FIRST OF ALL NATAKA KUTANGAZA KWAMBA KUNA OFFA INAENDELEA KWA WATEJA WANGU KUANZIA TAREHE 15 YA MWEZI HUU WA 10 2023 NA ITAISHA TAREHE 15 YA MWEZI WA 12 2023.
GIFTS.jpg


NIMEKUWA NIKITOA ZAWADI ZA FUNGA MWAKA KWA WALE WATEJA WANAONUNUA BIDHAA AMBAPO IKIWA THAMANI YA MZIGO WAKE ITAFIKIA TSH.100,000+ BASI KATIKA PERCEL YAKE KUTAKUWA NA ZAWADI EXTRA.
 
Weka picha halisi ya bidhaa zako, pia weka physical address ya office yako, hata kama uko online lazima kuna office au sehemu bidhaa zilipo🙏🏼
 
Weka picha halisi ya bidhaa zako, pia weka physical address ya office yako, hata kama uko online lazima kuna office au sehemu bidhaa zilipo🙏🏼
Online hawana ofisi.. unaagiza akakuchukulie.. ni wazuri sana kwa deliver na kutuma mikoani kama ni WAaminifu. Kiufupi ni kam madadli wa bidhaa/ mawinga
 
Online hawana ofisi.. unaagiza akakuchukulie.. ni wazuri sana kwa deliver na kutuma mikoani kama ni WAaminifu. Kiufupi ni kam madadli wa bidhaa/ mawinga
Shukran mkuu, kwa budhaa za household ni uwanja mpana sana kiasi kwamba ili kweli ufanye kazi lazima uwe winga maana bidhaa ni nyingi mno
 
Shukran mkuu, kwa budhaa za household ni uwanja mpana sana kiasi kwamba ili kweli ufanye kazi lazima uwe winga maana bidhaa ni nyingi mno
Boost tangazo. Lakin advance your services mana wengi wenu mnabaki hivyohivyo tu.. na mm naona uwezekano wa kukua kibiashara kama unafanya branding nzuri
 
Neck pillows kwaajili ya safari ndefu, Hizi ni original kabisa maana ni milaini, Pia ina pocket kwaajili ya kuwekea simu.
Price; Tsh.30,000/=
 

Attachments

  • IMG-20231027-WA0002.jpg
    IMG-20231027-WA0002.jpg
    69.4 KB · Views: 10
  • IMG-20231027-WA0001.jpg
    IMG-20231027-WA0001.jpg
    78.9 KB · Views: 14
  • IMG-20231027-WA0000.jpg
    IMG-20231027-WA0000.jpg
    122.5 KB · Views: 11
  • IMG-20231027-WA0003.jpg
    IMG-20231027-WA0003.jpg
    94.6 KB · Views: 13
Nakuletea Fitted Sofa Covers kwaajili ya kubadili muonekano wa sofa zako hapo nyumbani ⬇️

Sofa Covers hizi ni nzuri na zimesaidia watu katika kulinda masofa yao na kufanya yazidi kuwa na muonekano mzuri sana.
Bei zake ni kutokana uhitaji wa size ya sofa ulizokuwa nazo mfano;-
•Cover ya sofa la mmoja ni Tsh.35,000/=
•Cover ya sofa la wawili ni Tsh.40,000/=
•Cover ya sofa la watatu ni Tsh.45,000/=
•Cover ya sofa la wanne ni Tsh.50,000/=


Ukihitaji huduma nicheki kwa WhatsApp 255685269533
Samples za rangi tulizonazo⬇️
 

Attachments

  • IMG-20231019-WA0002.jpg
    IMG-20231019-WA0002.jpg
    76.8 KB · Views: 14
  • IMG-20231019-WA0001.jpg
    IMG-20231019-WA0001.jpg
    103.5 KB · Views: 13
  • IMG-20231019-WA0012.jpg
    IMG-20231019-WA0012.jpg
    68.1 KB · Views: 17
  • IMG-20231019-WA0011.jpg
    IMG-20231019-WA0011.jpg
    92.7 KB · Views: 12
  • IMG-20231019-WA0000.jpg
    IMG-20231019-WA0000.jpg
    79.2 KB · Views: 13
  • IMG-20231019-WA0009.jpg
    IMG-20231019-WA0009.jpg
    86.5 KB · Views: 10
  • IMG-20231019-WA0008.jpg
    IMG-20231019-WA0008.jpg
    79.9 KB · Views: 12
  • IMG-20231019-WA0018.jpg
    IMG-20231019-WA0018.jpg
    111.3 KB · Views: 13
  • IMG-20231019-WA0017.jpg
    IMG-20231019-WA0017.jpg
    79.8 KB · Views: 12
  • IMG-20231019-WA0006.jpg
    IMG-20231019-WA0006.jpg
    74.1 KB · Views: 12
  • IMG-20231019-WA0016.jpg
    IMG-20231019-WA0016.jpg
    98.3 KB · Views: 9
  • IMG-20231019-WA0005.jpg
    IMG-20231019-WA0005.jpg
    93.2 KB · Views: 11
  • IMG-20231019-WA0015.jpg
    IMG-20231019-WA0015.jpg
    68.2 KB · Views: 13
  • IMG-20231019-WA0014.jpg
    IMG-20231019-WA0014.jpg
    39.6 KB · Views: 12
  • IMG-20231019-WA0013.jpg
    IMG-20231019-WA0013.jpg
    65.8 KB · Views: 10
NEW ARRIVALS (MATTRESS COVERS) KAVA ZA MAGODORO

Hizi covers ni waterproof (Haziingizi maji) Hivyo zitakusaidia kulinda godoro lako na vimiminika vya kulowesha.

Size: 5*6ft ni Tsh.75,000/=
Size: 6*6ft ni Tsh.85,000/=

Samples ⬇️
 

Attachments

  • dubai_curtains_branch-20230629-0009.jpg
    dubai_curtains_branch-20230629-0009.jpg
    104.6 KB · Views: 8
  • dubai_curtains_branch-20230629-0006.jpg
    dubai_curtains_branch-20230629-0006.jpg
    101.2 KB · Views: 9
  • dubai_curtains_branch-20230629-0001.jpg
    dubai_curtains_branch-20230629-0001.jpg
    84.2 KB · Views: 10
  • dubai_curtains_branch-20230629-0004.jpg
    dubai_curtains_branch-20230629-0004.jpg
    99.9 KB · Views: 10
Study/Office/Desktop Table 📌
•Unaipata kwa Tsh.170,000/=
 

Attachments

  • IMG-20231104-WA0000.jpg
    IMG-20231104-WA0000.jpg
    117.5 KB · Views: 11
Vacuum cleaner zipo wakuu 4in1
•Zinasaidia kwenye usafi, Hii inafanya kazi kwa kuvuta/kunyonya dusts kama unavyoona kwenye clip hapa⬇️


Bei yake ni Tsh.95,000 (Ni multi-purpose) kwahiyo ina pcs nne ambazo utakuwa unabadili kutokana na ni aina ya kitu gani unachokifanyi usafi... Mf:
pazia_decoration_kariakoo-20231113-0003.jpg


Karibu sana, Kama ukihitaji nicheki kwa WhatsApp 255685269533.
 

Attachments

  • pazia_decoration_kariakoo-20231113-0001.jpg
    pazia_decoration_kariakoo-20231113-0001.jpg
    117 KB · Views: 6
  • 61LKIv6293L.jpg
    61LKIv6293L.jpg
    79.1 KB · Views: 7
  • 51ZwIBMWFXL.jpg
    51ZwIBMWFXL.jpg
    62.3 KB · Views: 7
𝗝𝗜𝗣𝗔𝗧𝗜𝗘 𝗣𝗔𝗭𝗜𝗔 𝗭𝗔 𝗭𝗘𝗕𝗥𝗔 𝗕𝗟𝗜𝗡𝗗 𝗞𝗪𝗔𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔𝗡𝗜,𝗝𝗜𝗞𝗢𝗡𝗜,𝗩𝗬𝗢𝗢𝗡𝗜 𝗔𝗨 𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔𝗞𝗢📌



Bei zangu ni rafiki sana na hutozipata sehemu nyingine, Tazama orodha kwenye menu ⬇️
AddText_11-19-07.40.26.png



Ikiwa kama upo Dar es Salaam na utahitaji kuja kufanyiwa installation basi usisite kunicheki pia, Cost ya kila dirisha ni Tsh.10,000/= tu.

Rangi zilizopo: White,Cream,Brown & Grey

WhatsApp 255685269533
 
𝗝𝗜𝗣𝗔𝗧𝗜𝗘 𝗣𝗔𝗭𝗜𝗔 𝗭𝗔 𝗭𝗘𝗕𝗥𝗔 𝗕𝗟𝗜𝗡𝗗 𝗞𝗪𝗔𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔𝗡𝗜,𝗝𝗜𝗞𝗢𝗡𝗜,𝗩𝗬𝗢𝗢𝗡𝗜 𝗔𝗨 𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔𝗞𝗢📌
View attachment 2822024


Bei zangu ni rafiki sana na hutozipata sehemu nyingine, Tazama orodha kwenye menu ⬇️View attachment 2822027


Ikiwa kama upo Dar es Salaam na utahitaji kuja kufanyiwa installation basi usisite kunicheki pia, Cost ya kila dirisha ni Tsh.10,000/= tu.

Rangi zilizopo: White,Cream,Brown & Grey

WhatsApp 255685269533
Carpet bei gani?

Una aí na gani za carpetes?
 
Habari yenu wakuu, Katika harakati za kuendelea kujitafuta ndipo nimepata wazo la kuwaletea huu uzi ambao unaweza kuwasaidia watu wengi kujipatia bidhaa zitakazoweza kuwatatulia changamoto majumbani mwao au kuongeza muonekano mzuri wa majumbani mwetu tukiachana na mashuka na mapazia humu utajipatia
•Sofa covers
•Mattress Covers
•Shoe racks
•Carpets
•Coffee tables
•Home Trolley
•Door mats
•Tv broadcast tables
•Chairs
n.k


Nipo Dar es Salaam, Nime-base na online selling pekee kwa sasa Kwahiyo kuna huduma za deliveries kwa wateja wote waliopo ndani ya jiji na malipo yanaweza kufanyika baada ya kufikiwa na mzigo.

Kwa wale mlio nje ya Dar malipo yanakuwa ni kabla ya kuutuma mzigo wako, ili kuepusha usumbufu na kupotezeana muda.

WhatsApp no: 255685269533
Instagram: @flameinteriors
Karibuni
Bila picha bado tangazo halijakamilika
 
Wale mnaohitaji coffee Tables, Open picture kuona prices zake then kama utahitaji nicheki kwa WhatsApp au nipigie kupitia 255685269533
 

Attachments

  • AddText_11-23-12.08.14.jpg
    AddText_11-23-12.08.14.jpg
    114 KB · Views: 4
  • AddText_11-23-12.15.41.png
    AddText_11-23-12.15.41.png
    255.6 KB · Views: 2
  • AddText_11-23-12.09.09.png
    AddText_11-23-12.09.09.png
    265.7 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.09.59.jpg
    AddText_11-23-12.09.59.jpg
    217.2 KB · Views: 4
  • AddText_11-23-12.15.09.jpg
    AddText_11-23-12.15.09.jpg
    80.9 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.05.24.jpg
    AddText_11-23-12.05.24.jpg
    74.6 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.16.34.jpg
    AddText_11-23-12.16.34.jpg
    111 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.06.36.jpg
    AddText_11-23-12.06.36.jpg
    151.5 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.07.33.jpg
    AddText_11-23-12.07.33.jpg
    74.7 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.11.53.jpg
    AddText_11-23-12.11.53.jpg
    129.9 KB · Views: 3
  • AddText_11-23-12.12.49.jpg
    AddText_11-23-12.12.49.jpg
    120.1 KB · Views: 4
  • AddText_11-23-12.13.37.jpg
    AddText_11-23-12.13.37.jpg
    110.8 KB · Views: 4
  • AddText_11-23-12.14.27.jpg
    AddText_11-23-12.14.27.jpg
    97.5 KB · Views: 5
NECK PILLOWS FOR TRAVELLING • (ORIGINAL FABRIC) AVAILABLE ✅
61X7iQF7bdL._AC_SL1500_.jpg

 

Attachments

  • 510198291_max.jpg
    510198291_max.jpg
    141.8 KB · Views: 3
  • 510198215_max.jpg
    510198215_max.jpg
    114.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom