Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

  • Kwenye post #1 nimezungumzia masoko kundi B
  • Kinachofanyika
#1. Nanunua na Ninapokea mzigo Sandton (Gauteng), SA
#2. Kisha nautuma kuja Tanzania
Shukrani ngoja nipitie ntakucheki unipe price kamili mpaka mzigo kunifikia
 
Vp tv inauzwaje huko na mpaka kunifikia ni bei gani
Hisense nch49 smart frameless
 
Hii gharama yake ikoje??
1620725116089.png
 
Hisense nch49 smart frameless
Code:
 https://www.zoomtanzania.com/listings/lg-nch-49-uhd-4k-2586564
Hizi TV zinapatikana Ilala, dar.
Ni gharama kubwa zaidi iwapo utaagiza TV hi kutoka USA au UK, Ni vyema ukanunua hapa nchini.
 
Back
Top Bottom