Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS. 165,750
Mkuu inawezekana kuagiza kutoka kwenye hii store
Pic_1626520351123.jpg
 
Ahsante kwa feedback ndugu Chillah

Boss huyo Mwl.RCT Mimi kwake nimesha agiza vitu vingi zaidi ya USD15,000 Kwa Mara moja...

Nabado Uzi wake una endelea hauna kashfa ule Uzi na unge kuwa wa kitapeli jf wange ufunga...

Ktk watu ma elfu ndani na nje ya tz anao wahudumia na ofisi zake zina fahamika zilipo, je ulichukua hatua gani kumtafuta au kufika ofisini kwake?

Watu wana kuangalia na kusikitika sababu wengi wametumia huduma yake na mrejesho ni chanya...

Mimi nimetuma USD 15,000 na mzigo nililetewa nyumbani, TBS sijui tra zote kafanya yeye Mimi nimemlipa gharama tu ktk a/c yake ya equity bank ya USD

Simjui sija wahi onana nae... Watu wana fika wana sema mzigo tumeagizwa na mwalimu tukuletee...

Elezea kinaga ubaga, mwalimu nilikulipa ushahidi huu lakini huduma sjapata, nimefanya juhudi kadhaa kukutafuta lakini una nikwepa, ushahidi ni huu hapa na majibu uliyo nipatia si ya kiungwana...

Wewe una kuja una weka taarifa haina mbele wala nyuma...

Nenda ktk Uzi wake, kaangalie nimeagiza bidhaa na nimepokea nyingi tu, na ikiwapo huo mzigo wa mamilioni... Na wengine wana endelea kuagiza...

Si shabikii utapeli, ila elezea kinaga ubaga na yawezekana hata jf na wadau wengine waka kusaidia...
 
Asalam Alyekum, vifaa Genuine vya 1KZ Engine tunaweza pata mkuu?

1KZ Engine*

1. Ring Piston - standard or Oversize?
2. Main & Con Bearing - Sizes?
3. Overhaul Gasket
4. Head Gasket - Notch?
5. Thrust Washer - standard or oversize?

0737397700
 
1. Ring Piston - standard or Oversize?
1627952768148.png


2. Main & Con Bearing - Sizes?
1627952751678.png



3. Overhaul Gasket
1627952701986.png


4. Head Gasket - Notch?
1627952439584.png


5. Thrust Washer - standard or oversize?
1627952397347.png


vifaa Genuine vya 1KZ Engine tunaweza pata mkuu?
Ndio vifaa Genuine vinapatikana , Tazama maelezo kwenye hizo link, Haki parts number, Kisha nijulishe ni spare zipi unachukua.

Muda wa Kufika nchini
- Muda ni kuanzia siku 7 hadi 14 kwa item zitakazo wahi.

Na

- Kati ya siku 14 hadi 30 kwa item zingine

Sababu items zinatoka nchi tofauti na pia njia za usafirishaji zinatofautiana
 
shukrani kaka swali la kizushi nilienda kufanya survey kko nikakutana na mwingine anauza kwa 150000 lakin haina fingerprints kwa kioo? inakuwaje hii?
Hicho kioo hakina uwezo wa kupitisha signal zinazotoka chini ya sensor/chip ya fingerprint kuja juu ya kioo, so utahitaji kioo chenye technologia hiyo
 
Mkuu Mwl. RCT nipe total cost ya hii incubator hadi inanifikia Njombe -TZ. Yenye capacity ya 196 au 254 eggs.
Nime i circle hapo kwenye picha ni Alibaba
IMG_20210820_113625.jpg


Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
 
redmi note 10 pro
Xiaomi Redmi Note 10 Pro

Bei hutegemea
  • Size ya ROM/RAM utakayochagua
  • Njia ya usafirishaji itakayotumika, Je ni kwa express au kawaida kwa posta
  • Mahali tumenunua hiyo simu.

Sample ya bei ni hii hapa.
1629845818391.png


Je nini cha kufanya.
  • Fungua aliexpress.com au banggood.com na chagua simu husika
  • Kisha nipe link yake na nitakupa ghalama

Karibu
 
Back
Top Bottom