Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1624005666601.png
 
RCM loader type C
Je ni hiki kifaa EBAY?

vipi naweza Kuagiza
Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.
 
Je ni hiki kifaa EBAY?

Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.
Ndio hiki mkuu, japo sikutarajia kitafika dola 27 ngoja nikiandalie hela ya ziada tutajuzana hapa hapa.
 
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013.Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano,kitendaji na kiumadhubuti.Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone

View attachment 1824810

View attachment 1824812
Inapatikana
- EBAY
#1. 100% Original Nokia 1680 classic - Black (Unlocked) Mobile Phone | eBay
#2. Nokia 1680 Classic - Black (Unlocked) Cellular Phone for sale online | eBay

Pia Aliexpress
#1. Best value nokia 1680 – Great deals on nokia 1680 from global nokia 1680 sellers | Hot Search, Ranking Keywords on AliExpress
#2. 22.73US $ 40% OFF|Nokia 1680 Refurbished Original Unlocked Nokia 1680 Classic 2G GSM Unlocked Cheap Refurbished cell Phone Free Shipping|Cellphones| - AliExpress

Pitia hizo link na chagua tufanye manunuzi EvilSpirit
 
Je ni hiki kifaa EBAY?

Ndio, waweza agiza, Hakiki link kisha nijulishe.
Hujanilipahela zangu, zaidi ya mwaka sasa, kipindi kile ulisingizia korona, mbona hawa unazuga kuwaagizia.
Kama umelipwa refund, kwanini hunirejeshei? au na hawa unataka kuwatapeli?

Ninakudai zaidi ya laki tano na nusu naona unajisahaulisha.
 
78 Reactions
Reply
Back
Top Bottom