Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hio saa ya mikanda nimeielewa cheif inaendaje
1622027593747.png
 
Hii bei ni mpaka mzigo kunifikia au kuna gharama nyingine?
  • Hadi kuufikisha Dar, Kwa upande wangu hakina ghalama zingine.
  • Kwa TRA: Computer/Computer parts hazina kodi.
  • Ila Huenda ukadaiwa VAT, na kiasi cha kulipia {asilimia 18} kitatokana na invoice value $112
 
Endapo ikitokea natakiwa kulipa VAT,ndio itgonga kwenye ngapi chief? na malipo yanakuwa kwa awamu au vp?
 
Back
Top Bottom