Ustaadh
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 413
- 19
Mwalimu Nyerere amekuwa ananukuliwa kwa misemo yake ambayo wakati mwingine imekuwa vigumu kuielewa. Mojawapo ni ifuatayo hapa chini. Kwa wenye uelewa mkubwa, hapa Mwl. Nyerere alimaanisha nini?
Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere