Nukuu za mwalimu Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu za mwalimu Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ustaadh, Nov 20, 2009.

 1. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwalimu Nyerere amekuwa ananukuliwa kwa misemo yake ambayo wakati mwingine imekuwa vigumu kuielewa. Mojawapo ni ifuatayo hapa chini. Kwa wenye uelewa mkubwa, hapa Mwl. Nyerere alimaanisha nini?

  Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Alikuwa anazungumzia ufisadi, kwamba mafisadi hawawezi kupelekana mbele ya haki.
  Tunashuhudia ukweli wake leo.
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nothing profound or special, just stating the obvious.
   
 4. a

  alibaba Senior Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ustadh,
  Vipi umeshindwa kumbaini Ustadh Mwenzio; Ustadh J K Nyerere alituwekea wazi picha rasmi ya hisia za Watanzania juu yake yeye (Nyerere)Kama PAKA Mkubwa na wale wanaomzunguka kiuongozi ni Paka wadogo walioko Chini yake. Na Watanzania mliobaki ni PANYA mnaochukia na mliochoshwa na Chama Chake Serekali yake Sera zake Utendaji na Utekelezaji wake. Na DAWA ni hiyo Afungwe Kengele.
  Lakini yukowapi wa kazi hiyo. Unakumbuka wale MGAMBO mpaka Mvunguni na wana Nguvu za Utendaji kuliko Polisi.Na Paka Wadogo waliridhishwa anaeharibu hapa anahamishiwa pale kwa hiyo Paka Mkuu was always OK.
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yes indeed, albeit, stating the obvious in a profound/special way.
   
 6. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naipenda hii:

  "For, if Men cannot live as men, they will, at least die as men."
  JK Nyerere
  June 1974.
   
Loading...