Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,418 Jan 31, 2018 #61 Inabidi wenye nafasi watengeneze kitabu cha Nukuu za Mwalimu.Wengine tunamuenzi kwa maneno tu ilikufurahisha genge
Inabidi wenye nafasi watengeneze kitabu cha Nukuu za Mwalimu.Wengine tunamuenzi kwa maneno tu ilikufurahisha genge
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,494 Jan 31, 2018 #62 Kila mtu anamazuri yake na mabaya yake kikubwa ni Faida alizotuachia na Wahuni wanavyofanya hii leo kama hakuna lolote wanaloogopa kwa Umma wetu
Kila mtu anamazuri yake na mabaya yake kikubwa ni Faida alizotuachia na Wahuni wanavyofanya hii leo kama hakuna lolote wanaloogopa kwa Umma wetu
butron JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,768 Reaction score 8,256 Jan 31, 2018 #63 Alimaanisha kuwa in makosa kwa wananchi kunyamaza kimya na kufikiri kuwa viongozi watakemeana wao kwa wao katika maovu yao.
Alimaanisha kuwa in makosa kwa wananchi kunyamaza kimya na kufikiri kuwa viongozi watakemeana wao kwa wao katika maovu yao.
Cowman JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 1,719 Reaction score 3,182 Oct 14, 2019 #64 Education is not a way of escaping poverty, it is a way of fighting it.