1- watanzania wakikosa kuyaona maendeleo ndani ya CCM watayafuata nje ya CCM.
2-CCM itauliwa na wanaccm wenyewe.
3-Kiongoz bora atatoka ndani ya CCM.
4-Wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM.
Swali
1- inamaana watanzani wameyakosa maendeleo ndani CCM?
2-Ndo CCM inauliwa na wenyewe kama ilivyotabiriwa?
3-Ndani ya upinzani hakuna kiongoz aliebora hadi lowasa kutoka CCM na kwenda kupewa rungu ya kupeperusha bendera ya ukawa/chadema?
5- Lowasa ndo mpinzni wa kweli? Au zile kauli za mwalimu zilikuwa na maana gani na pia tunazihusisha vipi na haya yanayojiri kipindi hiki ndani ya nchi yetu?
Hebu twende sawa wanajamii
Unaweza kutafsiri kauli hizo kwa kadili uwezo wako wa kufikiri unapoweza kufanya hivyo.....
Upinzani wa kweli utakuwa ndani ya ccm na si nje ya ccm(wapinzani watakuwa ndani ya ccm na sio nje ya chama)Hapa ccm wanaweza kuitafsiri hivyo kauli hii.
Upinzani wa kweli utatokea ccm na sio ndani ya ccm(hapa wapinzani CDM/ukawa wanaweza kutafsiri hivyo kauli hiyo.
Upinzani wa kweli utatokana na ccm, kwa maana ya kwamba upinzani ni lazima uwe zao la ccm(tafsiri hii inaweza kutafsiriwa na watu hivyo lakini haina mashiko kwa kuwa kabla ya upinzani ilikuwepo ccm na waasisi wa upinzani walutokea ccm.
Kwa tafsiri hizo hapo juu wewe unaona Jk.Nyerere alimaanisha ninj?
Mwl. aliwahi kusema kuwa rais wa JMT anaweza kutoka chama chochote lakini rais bora atatoka ccm. Alikuwa na maana gani?
YatajeNyerere pia kuna mengi alizingua tu
Kuhamisha watu kutoka kwenye mashamba yao ya asili kwenda kujenga vijiji vya ujamaaYataje
ExcellentKuhamisha watu kutoka kwenye mashamba yao ya asili kwenda kujenga vijiji vya ujamaa