nimeipenda avatar yako.......
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
wee Preta unamatatizo you are a naught girl, why mentioned Yaeda Chini off all the places in Tanzania? vilevile umetembea tembeaUkipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
huko ndio yaeda chini kwenyewe majina ya vijiji watu kama kina nape hawawezi kujua huko nilipofika huko kutoa huduma ya kijamii kwa mara ya kwanza niliulizia wa walionipeleka kuwa je kikwete anafahamu na hii ni sehemu ya jamuhuri ya muungano.
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
karibu sana Yaeda switiiiiiii......
Exactly.......and everyone of them is just another ''BABY-I-MISS-YOU'' situation
kuna jamaa mmoja mzee wa upako anasemaga
TUTAKWENDA KUPANGA MIPAAANGOOOOO ITAKAYOPANGIKAAAAA....!sijui kwa nin nimemkumbuka baada ya kuisoma thread hii maridhawa