JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
ni ujinga kusema pombe ni mbaya wakati wewe ndio umeitumia vibaya
Hiviii The secretary anajua hii mineno ?
Hata nyani awe mjanja vipi kamwe hawezi kurukia tawi la benki.Ni ujinga kuchukua kamba waenda kujinyonga msituni, ghafla unakutana na simba then unamkimbia!!
Tupiamo yako.
Ni ujinga kufuta namba ya mpenzi wako kwa hasira wakati umeikariri kichwaniUjinga pia ni pale unapoenda dukani kununua sumu halafu unadai chenchi....
Kama maisha ni Safari basi kifo ni Castle liteni ujinga kumkataa mwanaume mwenye hela
Ukitaka kujua kuwa maji sio uhai pata ajali ya botiKila mwamba ngozi huvutia upande wake...
Hata uwe msafi vipi kamwe hauwezi kunawa mkono wakati unakula rushwaHee........mume wangu hajambo anajiandaa kuitwa daddy
Hata uwe na heshima kiasi gani kamwe hauwezi kumpokea afande bundukiNi ujinga kumnunulia mswaki kibogoyo.......
Halafu nitakuja kumchukua mwananguMarejesho ni KE mke halali wa Filipo
Ni ujinga kulala na underwear usiku wakati umeolewa.
CC: Bishanga................. tafuta mwanamke wewe.
ni ujinga kusema pombe ni mbaya wakati wewe ndio umeitumia vibaya
ni ujinga kumkataa mwanaume mwenye hela
Hata nyani awe mjanja vipi kamwe hawezi kurukia tawi la benki.
Ni ujinga kufuta namba ya mpenzi wako kwa hasira wakati umeikariri kichwani
Kama maisha ni Safari basi kifo ni Castle lite
Ukitaka kujua kuwa maji sio uhai pata ajali ya boti
Hata uwe msafi vipi kamwe hauwezi kunawa mkono wakati unakula rushwa
Hata uwe na heshima kiasi gani kamwe hauwezi kumpokea afande bunduki
Halafu nitakuja kumchukua mwanangu
Kwani Bishanga ameachika?
hv user name za humu ndani zinanichanganya nashindwa kudifferentiate na ni female na nani ni male
Mamndenyi!Ni ujinga kuamini kuwa Bishanga anaweza kutoka na The secretary
Ni ujinga kulala na underwear usiku wakati umeolewa.
CC: Bishanga................. tafuta mwanamke wewe.
Hiviii The secretary anajua hii mineno ?
Mahela ya tajiri la kihaya yanawapagaisha