Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Huyu jamaa mwisho wake Segera! Ruvu naona pamekuwa karibu sana.Asprin vilevile ni ujinga kumpiga marufuku Saharavoice kukanyaga DAR wakati hujatangaza dau kwa atakayemkamata.
Huyu jamaa mwisho wake Segera! Ruvu naona pamekuwa karibu sana.Asprin vilevile ni ujinga kumpiga marufuku Saharavoice kukanyaga DAR wakati hujatangaza dau kwa atakayemkamata.
Hayakuhuuu........jali ya YNNAH if at all hajakupiga chini ( which is inevitable tokana na ubahili wako.... mwanaume gani huongi?)
Niapie? HakyaMungu na Mtume vile ! Yaani Yesu Kristo , mie nahongaga!
Kwa nini umenivunjia adabu namna hii, eti mi sihongagi? Kaulize fesibuku, twita, wakwambie nnavyohongaga! Leo tu usubui shemeji yangu Madame B nimemtumia vocha za Jiti 3 mbili.
Shemeji ukifanikiwa kutuachanisha unadhani m'baya wangu utakua wewe?
Hutokua wewe aslan!
Mchawi wangu ni Arushaone! Ananiendea kwa wataalamu kibao kuniroga nife, amchukue YNNAH!
Hilo unalijua?
Incase utabahatika kua nae karibu huyo Mswati hebu mcheki, anatembea na hirizi imezungushwa kwenye parachichi zake!
Hiyo yote ni kunishughulikia mie.
So far nimeanza kuhisi nguvu zake za giza zinapitia kwako.
Akhhaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Mie Arushaone nilishaachana nae kitambo saaaaaaaaana.
Ila huwa ananipigia misele ili nimrudie.
na jana kajidai kunitoa out, nilikubali lakini hali halisi anaijua.......
![]()
![]()
Nimeona!
Hilo gepu liliopo katikati yenu ! Si ni hata gari ingeweza kupita bila kuwagusa!
Ujinga pia ni pale unapoenda dukani kununua sumu halafu unadai chenchi....
.. Yaani Shem....... Kila siku nakuta msg zake getini kwetu.
Chezea mimi.
Si aliniletea Pouzzzzzzzzzzz, .................. sasa anakula za Uso.
![]()
Mahela ya tajiri la kihaya yanawapagaisha