Nukuu za mkutano wa Mangungu

Nukuu za mkutano wa Mangungu

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
18,345
Reaction score
26,225
Hizi ni baadhi ya nukuu za mwenyekiti wa Simba

Simba day imegeuka kampuni day.

Mlishawahi kumwuliza mo aliposema ameinunua Simba pesa kampa nani?
Hata ibaki dakika moja mimi bado mwenyekiti
Mtu anatafsiri katiba kama kitabu cha paukwa pakawa
Bodi haina kigezo cha kuendelea kuwepo baada ya mabadiko ya katiba ila ndio inataka isimamie kila kitu
Wanaopiga kelele wanasimamia maslahi ya nani
Mchakato unafanywa na Simba sport club na sio kampuni
Hata kama mtu hampendi Mangungu yeye ndio mwenyekiti utavimba utapasuka yeye ndio mwenyekiti.
Naendelea kuwaletea nyingine
 
Mashabiki na wanachama wenzangu wa simba tunatakiwa kumlinda Mwenyekiti wetu Mangungu kwa wivu mkubwa.
 
Back
Top Bottom