Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Last edited by a moderator:
Madame B naomba namba yako ya simu pppplllliiiiiizzzzz!!!!!!!
hv user name za humu ndani zinanichanganya nashindwa kudifferentiate na ni female na nani ni male
Ile appointment yetu ya lunch msasani kwa mfuga mbwa nime cancel usije ukanibaka bure,lol!Na mwili huu unadhani vijidudu vitapitia upenyo gani?
![]()
![]()
Ile appointment yetu ya lunch msasani kwa mfuga mbwa nime cancel usije ukanibaka bure,lol!
Usiniogope, mbona nnikijirembaga huwa napendeza tuu.
![]()
Darling The secretary achana na wanga hawa kina Arushaone na Judgement vuta shuka tulale mpenzi,nakupendaje.
Samahani Shem! Hivi viazi vya biashara au?
Hahahaha... Kuzaliwa na baba maskini ni uzembe wa mama.
Wewe The secretary kuwaga na aibu japo kiduchu!
Mapenzi gani na mshaija ya tr. 29, 30 mwisho tr 10!? Ulikatwaga mshipa wa soni ?
Hahahaha... Kuzaliwa na baba maskini ni uzembe wa mama.
Wewe The secretary kuwaga na aibu japo kiduchu!
Mapenzi gani na mshaija ya tr. 29, 30 mwisho tr 10!? Ulikatwaga mshipa wa soni ?