Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Tukiweka ushabiki na mahaba pembeni ni dhahiri kuwa Yanga imepwaya kiuongozi na mipango yake mingi ipo kwenye makaratasi kuliko utekelezaji......
Wakae chini waitengeneze timu na mfumo mzuri wa uongozi, hii style ya kusajili wachezaji kwa pupa kutoka AS Vita na sijui wapi huko ili washindane na simba haiwasaidii sana.
 
Hana jipya anaumia baada ya kutemwa kama vipi mwambieni Mo amsajiri mechi moja majaruhi mechi nane wa nini sasa?
 
Yupo sahihi, yanga hawana tofauti na bakafila fc, kutwa kuzungumzia ya mo wakati yao yanawashinda, kinachonifurahisha zaidi ni kitendo cha kutokata tamaa ya ubingwa eti simba watapokonywa makombe yote mawili wapewe wao
Wewe hapa unazungumzia ya Simba? Au hujui unachokisema? Ukiitwa mbumbumbu unaandamana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom