Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?

View attachment 1875332

View attachment 1875333
Sasa timu badala ya kuwategemea wachezaji wake kwa kuwapa morali na motisha yenyewe iko bize na mzee Mpili unategemea nini?

Yani mzee Mpili hivi sasa anategemewa kuliko kina Fei Toto na Lamire Moro..

Ule ushindi dhidi ya Simba.... mzee alipongezwa kuliko Mauya aliyefunga goli... unategemea nini?

Timu imepelekwa Kigoma na basi wakati mzee kapandishwa Bombardier...


Ngoja niishie hapa kwa leo
 
Yupo sahihi, yanga hawana tofauti na bakafila fc, kutwa kuzungumzia ya mo wakati yao yanawashinda, kinachonifurahisha zaidi ni kitendo cha kutokata tamaa ya ubingwa eti simba watapokonywa makombe yote mawili wapewe wao
Umewahi kuona official press ya Yanga wanaizungumzia Simba? Msikilize jana mwamedi utaona unavyokula matapishi yako.
 
Wanaendesha timu kienyeji, wanachojua wao ni kusajili kwa kelele tu, baada ya hapo kimya, utasikia mchezaji fulani hajalipwa mshahara, mara wengine wanalalamika wamesuswa hawalishwi vinono kama wachezaji wanaotoka nje.

Yanga waache wenge la kulazimisha kufanana na Simba, watulie wapange mambo yao klabuni kwanza, baada ya hapo ndio wajiulize kwanini Simba iko nafasi ya 12 Afrika wakati wao wako nafasi ya 88.
Unafikiri wanakuelewa basi wako busy na 20B za Mo 🤣🤣
 
Mnaogopa tu ila inabidi tu iwe hivyo mana sipati picha Saidi atakapocheza nyuma ya Makambo na Mayele!
 
Tulieni vyuma vinakuja vya hali mpya, ngyvu mpya na kasi mpya.Usajili wa maana ndiyo maana wameamua kuachana nae huyu vifaa vinakuja si masihara.Nyie pigeni kelele haitokuwa kama ilivyokuwa.Nyie bakini na wazee Mfano Onyango,Wawa,Nyoni,Mzamiru,Mkude n.k Mtajuta msimu ujao
 
Tulieni vyuma vinakuja vya hali mpya, ngyvu mpya na kasi mpya.Usajili wa maana ndiyo maana wameamua kuachana nae huyu vifaa vinakuja si masihara.Nyie pigeni kelele haitokuwa kama ilivyokuwa.Nyie bakini na wazee Mfano Onyango,Wawa,Nyoni,Mzamiru,Mkude n.k Mtajuta msimu ujao

Msimu wa nne huu mmetoka patupu mnkazana tu mtajuta mtajuta uto bna yule mbelgiji hakukosea kuwaita manyani mbwaaaa
 
ACHA kujizima data wewe, ulikua unapayuka sana jana kuhusu 20B za mo .. leo hii mchezaji wenu mwenyewe kawaumbua kuwa hamna uongozi unaoeleweka .. tulieni dawa iwaingie ..
Daah mwanangu kila ninapo enda unanifata, mbona mnaumia sna na kuteseka sisi kumuacha mchezaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom