SIMBA SC, mnaweweseka, mafanikio ya Yanga yatawashangaza mwaka huu

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,238
4,058
Mafanikio ya Yanga yatawafanya Simba wazidi kuweweseka, hii ni kwa sababu wao wanafanya siasa za mpira kama mandonga alivyokuwa anafanya siasa za ngumi;

Yanga inafanya Objective football ; and just to let you guys know kwamba; yanga has a little further to go . Dhumuni la Yanga ni kuchukua Kombe la Africa while dhumuni lenu nyie ni kuonesha kuwa nyie ni bora kuliko Yanga….data zinakataa, pitch inakataa.

Mlianza na Underdog, mkaja na kupiga maiti kwenye mochwari leo mnakuja na Mo ndio mafanikio ya Yanga: hii inaonesha ni kiasi gani klabu ya Simba inaendeshwa kishikaji na kihuni huni na ni namna gani inaviongozi wapumbavu.

Yanga inaendeshwa ki professionals na integrity: maneno Yenu mengi na majibu ya kiherehere chenu cha DENIAL mtakipata uwanjani our second phase. Tutakutana na nyie very soon na majibu ya midomo yenu mtayapata kwenye head to head . No more talks.

Denial yenu itawaumizi na huyo msemaji wenu kama kweli ndio admin wa official page yenu, basi it is a really shame kuwa na msemaji wa sampuli hiyo.

Endeleeni na uswazi wenu: YANGA ipo kazini, nyie fanyeni social medial football; you are good at it.

Yanga inafanya Evidenve Informed Practice in football.

Soon Yanga itatangaza ubingwa wa ndani
 
IMG_20240226_212226.jpg
 
mafanikio ni robo fainali?? sasa mbona mlikuwa mkiwabeza Simba wakisema wamefaniwa CL?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom