Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,913
Hatimae utabir umetimiaMsimu ujao naiona ligi ikiisha Yanga itaishia nafasi ya tatu,Azam wa pili na Simba bingwa,Ukibisha bisha tu ila ukweli ndio huo
Hatimae utabir umetimiaMsimu ujao naiona ligi ikiisha Yanga itaishia nafasi ya tatu,Azam wa pili na Simba bingwa,Ukibisha bisha tu ila ukweli ndio huo
NakaziaYupo sahihi
Maneno yake yanaishiNakazia
Subiria povu kutoka kwa wanga
Eti nayeye sasahivi ana goli 10 kwenye ligiUkiachwa achika,kayaona hayo baada ya kupigwa chini
Dua la kukuAwe na akiba ya maneno.furaha yake itamponza
Uzi wa lini mkuu?Awe na akiba ya maneno.furaha yake itamponza