Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,813
- 164,916
Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, je ni wapi kwa DSM naweza kuipata miwani hii ili niinjoi zaidi matangazo yanayorushwa kwa 3D?
Nenda Mlimani city, kuna duka la sony pale, jaribu kuwaulizia.
Ila sasa inategemea aina (brand) ya tv yako.