Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,675
Angallia makalio yake. Hayo rangi yake hubakia original
duh!kwa hiyo jamaa aanze kazi ya kupekenyua makalio ya watu?kazi kwelikweli
Angallia makalio yake. Hayo rangi yake hubakia original
Hivi nyie mnasema kweli au mnatania? Hii ya harufu ndo nasikia leo. Ngoja nifanyie research. Lol.
Mbona itakuwa hatari...nini kinafanya wanuke?
kama ulikuwepo hebu waambie hawaTena Arusha mianzini . . . . . .!!
huyo wa nyuma anao wa asiliWeupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.
kama ulimpendea sura akivua hiyo suruali hata kama mzee alikuwa kasimama analala ghafla
Kwapa utalionaje kama kavaa hijab?wee angalia kwapa lake ndio utajua kama mweupe wa asili au anajichubua.
Mmh huyo kazidi bwana! Hadi anatisha watotoWeupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.
Kwhy hakuna wanaojichubua huko mnyalukolo?Mlete MAFINGA mwezi wa sita..kaeni siku 5 tu.. Hakuna karolait inasmama hapa.. Ni full ukungu.. Ndani ya siku 3 autakua kishapauka..
Ni kama RUSSIA..
Mpaka akupe uzioneWengine wanatumia sindano, na inabadilisha kila sehemu. Njia nzuri ni kufananisha na picha zake za zamani.