Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Halafu wakisema miafrica hatuna akili tunalalamika.
Namshauri aseiende mwanza vijijini peke yake, wenzie wanaweza mfananisha.

kimsingi ndio kashakuwa ALBINO
 
Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?

N.B.
NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?

Mkuu hii thread ya pili yako na zote unazungumzia akina mama we huna jingine unalowaza ni hayo tu. Hv nchi hii yenye mambo kibao ya maendeleo ya kujadili wewe umeamua kupiga kambi kuwajadili dada zako tu. Kama unawachukia akina dada wanaojichubua so what? kwani wao wanajua soko lipo achana nao na si lazima sana kueleza personal preferences hapa.
 
sasa unatakaje upewe ZERUZERU? maana kila anayejipamba kwako mwiko
 
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business

Tayari keshakujua kuwa wewe chakachua, ameomba msaada wa kuwagundueni amepewa. Mikelele ya nini sasa. Nivea mimi nakuhitaji, napenda sana wa mchubuo, basi usilie.
 
tayari keshakujua kuwa wewe chakachua, ameomba msaada wa kuwagundueni amepewa. Mikelele ya nini sasa. Nivea mimi nakuhitaji, napenda sana wa mchubuo, basi usilie.
kazikubwa mimi situmiagi mambo hayo naogopa sana ugonjwa mie unawafahamu vizuri watoto wa kule arusha sisi tumejaaliwa uzuri hatuongezi
 
Last edited by a moderator:
KWenye viungio/vifundo vya vidole anakuwa mweusi kama mpiga push up.Lol.

Nimekumbuka mtoto wa dada yangu alikuwa analalamika eti yeye na baba yake weusi wakati mama na mdogo wake weupe...ni kadogo kweli kalikuwa nursery. Mama yake akamwambia "mwanangu black is beuty...mimi na mdogo wako hatuwezi kuwa weusi hata tukipenda, lakini weupe unauzwa madukani'

Mi ndio maana nikiona mtu mweusi afu ana mvuto nampa bonge la saluti.
Ngozi nyeusi kwanza haichakai haraka, come sun come rain.
 
kazikubwa mimi situmiagi mambo hayo naogopa sana ugonjwa mie unawafahamu vizuri watoto wa kule arusha sisi tumejaaliwa uzuri hatuongezi

Tena Arusha mianzini . . . . . .!!
 
Last edited by a moderator:
Njia rahisi sana hata kama huna macho ya kuona ni harufu kali ya na mbaya ya ngozi inayotoka kwa anaejibadilisa ngozi yake ya asili. Hata aweke perfume gani huwa wananuka vibaya sana wakiwa karibu yako.

Kweli tena zomba harufu yao huwa mbaya
 
Utawatambua kwa harufu zao. Ukiskia harufu ya mochwari ujue umeuziwa manyoya.
 
Kwakwel weupe wa makopo watia kichefchef.
 
Hivi nyie mnasema kweli au mnatania? Hii ya harufu ndo nasikia leo. Ngoja nifanyie research. Lol.
Mbona itakuwa hatari...nini kinafanya wanuke?

Utawatambua kwa harufu zao. Ukiskia harufu ya mochwari ujue umeuziwa manyoya.
 
Back
Top Bottom