Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bampami, Sep 7, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
  Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
  Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?

  N.B.
  NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee angalia kwapa lake ndio utajua kama mweupe wa asili au anajichubua.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! Na baadhi ya sehemu za miguu.
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,878
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Angalia kwenye viwiko vya mikono
   
 5. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  angalia sehemu za SIRI au kwa bibi....! piga ua zinabakia na rangi asilia..!
   
 6. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  Nawachukia wanawake wanaojichubuaa!!
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  utatutambua kwa matendo yetu meupe......
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kumbe wee mweupe?
  Napenda wanawake weupe weupe hivi

   
 10. varavara

  varavara JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 80
  hahahahaa!ujumbe umefika! mi siwapendi mixed colour...mnahangaika na nani?
   
 11. varavara

  varavara JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 80
  ujumbe umefika!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kama mende mweupe....
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Actions speak louder than words

  KABLA...

  [​IMG]

  BAADA...

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  He he he, basi akiwa softi rangi ya mende, hata ukimmwagia bia haiachi alama sababu wanakuwa wanafanana rangi

   
 15. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,861
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  siyo kosa lako. Nimekugusa mpaka moyoni.Pole kwa kuongea ukweli.
  Muache carolite hizo
   
 16. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  jamani alikuwa african queen huyu ona sasa alivyoharibika!!
   
 17. Blue G

  Blue G JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 4,887
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo we Kongosho hapo umelenga nini hasa???????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
  ,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Weupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.
  [​IMG]
   
 20. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  sasa unaumia nini kama wewe sio mhusika?
   
Loading...