Ningependa kujua huu ubini/ukoo wa Ndenji asili yao ni wapi?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,856
Wakuu najua kwenu linaweza kuwa jina ngeni masikio mwenu ila hawa jamaa wanatambaa kwa kasi hapa nchini nazan hata secta nyeti hukosi hili koo ila huwezi wakuta wanajitambulisha kwa kibongo hiki na katika vitu vinavyonistaajabisha moja wapo ni hili la huu ukoo wa "ndenji" mwanzo nikajua huu ukoo asili yao ni ukanda wa ziwa Nyasa.

Lakini nikija kwenye Google nakuta kuna ngozi nyeupe zina hiki kibongo cha ndenji sasa najiuliza hivi hili koo chimbuko lake hasa ni wapi?

Je, ni kweli ni watanzania wenzetu na kwann imekuwa mixa ngozi nyeusi na nyeupe watumie jina la koo moja.

Mwenye kujua historia ya huu ukoo.

Nimejaribu kuhoji kabila lao wengi wamejificha kwenye ungoni na nilijaribu kuhoji kiundani kuna mzee mmoja akaniambia kabila lao ni "wamatongo"

Sasa ninaposhindwa kuingiza akilini hiyi kitu kuona hawa weupe kutumia hili koo inawezekana vipi.
 
Mbona hushangai Wahindi kuitwa Chande na Wamatumbi kuitwa Chande?
Kuna namna ya utamkaji na tofauti ya kimaandishi ndio maana sijashangaa ila hili la ndenji kuna siku dogo mmoja alikuwa akihojiwa na mu Amerika mmoja hivi jina lake yule dogo alipotaja hiki kibongo yule mzungu akasema kuna ndugu yenu nimesoma nae darasa moja huko jijini manchest ila yy ni kama mm ndicho kilicho nifanya nihoj hapa
 
Back
Top Bottom