Wadau,hivi kweli hii serikali inaendashwa na watu wenye akili?.Wanapoamua mambo haya bila kuwashirikisha wadau ambao ni sisi wanatutendea haki kweli??
We fikiria mimi nilipata kibarua mwaka Jana kwa mkataba wa miaka miwili tu,na makato ya NSSF yalianza mara moja baada ya kusaini mkataba huo je nitasubiri hadi nifikishe miaka 50 ndo nikadai mafao yangu hayo??
Kazi nimefanya 2011/2012 na nina umri wa miaka 20 so nitalazimika kudai mafao yangu ya miaka miwili niliyofanya kazi ifikapo mwaka 2062???
Haileti picha wala haikubaliki,kama wamezitafuna pesa zetu wakidai ni mali yao sasa wanaumbuka mchana kweupe!!!