NSSF Kimewaka

Kwa maana hiyo sheria iliyopitishwa na wanaosinzia bungeni na kula posho ndo SULUHISHO la wanyonge?
This is not only half crazy thinking but totally CRAZY,...ndo maana watu wameanza kupata BP na kufa haraka kabla hata ya miaka 45 hii ni hatari...let us take action wanachama PPF,PSPF,NSSF wooote tumo humo ktk hii sheria ya kifo...
 
CDM wako wapi na suluhisho la kilio hiki jamani??waje na suluhisho na wajipange sawa sawa kuchukua nchi na kubadili sheria dhalimu!!hatutaki cha muongozo wala muamala!hatutaki kwanza hatukushirikishwa kabisa!!hao TUCTA,na wengine wako wapi jamani??
 
Tuache kulalamika sana wakuu. Nadhani tujadiliane la kufanya. Mi nadhani uandaliwe mgomo na maandamano yasiyo na kikomo. Hakuna sababu ya kuendelea kulaani kwani hata shetani anajua huu ni upuuzi bana.
 
naunga mkono hoja ya mgomo usio na kikomo. niliacha kazi kwa wahindi mwaka jana, nikaambiwa nisubiri baada ya miezi 6, eti nataka nijaze fomu nivute changu wameleta sheria yao ya kijuha! sikubali
 
Lakini hiyo sheria hatujaiona mi nawewe, inawezekana inatoa mwanya wa kupata japo kidogo au kuna kakifungu kanako bariki mtu kupewa kitu kidogo siyo unafukuzwa ndo basi kabisa!!

Ndugu Sheria haikuruhusu kuchukua hata senti moja hadi utimize hiyo miaka na endapo utaitimiza ukiwa kaburini basi imekula kwako faida kwa magamba ziwasaidie katika kupitisha bajeti za serikali.

Huu ni wizi wa hadharani, tusilifumbie macho janja hii ya kutudhurumu pesa yetu. Jambo hili halina faida yoyote kwa mfanyakazi zaidi ya kuwekewa maisha magumu hapa baadaye endapo ukiacha kazi leo una miaka 25, basi usubiri miaka 30 ijayo ndipo ukajaze fomu.

Umeshakufa tayari. Nani mwenye mkataba na Mungu wa kufikia hiyo miaka. Eti wanatuwekea zitusaidie uzeeni. Ptyuuuuuuuuuu!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Tuache kulalamika sana wakuu. Nadhani tujadiliane la kufanya. Mi nadhani uandaliwe mgomo na maandamano yasiyo na kikomo. Hakuna sababu ya kuendelea kulaani kwani hata shetani anajua huu ni upuuzi bana.
Mgomo au maandamano tutakula hasara zaidi, cha kufanya nikutafuta sahihi milioni moja tuikatae hii sheria ifanyiwe amendment au ifutwe! wanaacha kutunga sheria za kunyonga wahujumu uchumi wanaanza kutunyonga taratibu ili wao waendeleee kuishi vizuri. Plan B: Ni kufungua kesi mahakamani dhidi ya serikali naimani itakuwa ni ya aina yake na tutashinda kwa wingi wetu!! sijui ni kwa nini viongozi wa wafanya kazi hawasemi kitu hadi sasa.
 
...Ndugu Yangu, nchi hii kila mtu anatanguliza tumbo lake mbele kwanza. Kwa hakika, nilidhani kwamba hawa ndio wangekuwa wa kwanza kupiga kelele pale sheria hiyo ilipotamkwa! Si ajabu wameishakuwa compromised. Ndio maana hata migomo yao wenyewe imekuwa haifanikiwi! kalele na vitisho viiingi lakini mwisho wa siku hakuna kinachoendelea...! Mimi naamini huu mpango wa kukusanya saini milioni moja na kufungua kesi unaweza ukasaidia zaidi. Wafanyakazi tujiunge pamoja, hakuna tutakachopoteza zaidi ya Minyororo ya woga tuliyofungwa...!
 
kweli mi nimekwazika tena sana, nasamahani kwa kutukana nssf na ccm nyote ni masaburi, mimi ninaanza kampeni za sacos za ofc kuweka pesa zake bila kuweka kwenye, yani na maliziaa kwa kusema ivi nyote mliopitisha sheria hii mfe mmeweka vidole mikunduni mwenu, anina

Hapo tayari umejihakikishia kupigwa life time ban!siku ukifunguliwa na pension yako itakuwa tayari,ban njema ndugu.
 
NSSF wanatakiwa kuwafikiria zaidi watumishi ambao ndio watoa michango. Wangekaa na vyama vya wafanyakazi wapate hekima huko!
 
Ni wapi kama mwanamchi wa kawaida naweza kuto 'Hoja binafsi'?

Huu utaratibi ni wa******, mimi nafanya kazi kwenye NGO, NGO hiyo iko haoa kwa only 3yrs baada ya hapo wanafungasha virago wanaondoka, hapa ni 30yrs, haya mafao yangu niliyoyapata katika kipindi cha miaka mitatu nije niyapate nikifikisha miaka 55, ni lini hiyo? halafu ni muajiri gani atakayenithibitisha coz shirika lilishakufa siku nyingi.

Kweli aliyenacho ataongezewa asiyenacho hata hich kidogo ananyang'anywa.

Naihitaji kutoa hoja binafsi niende wapi jamani
 
Kuna kiongozi mmoja wa upinzani wa ngazi za juu aliwahi kusema, kumchagua ****** ni maafa! Sasa maneno yake yametimia! Ni kula nyasi mpaka 55! Balaa! Hapa lazma zipigwe ndo watu wapate akili...baaaaas!
 
Ndugu Sheria haikuruhusu kuchukua hata senti moja hadi utimize hiyo miaka na endapo utaitimiza ukiwa kaburini basi imekula kwako faida kwa magamba ziwasaidie katika kupitisha bajeti za serikali.

Huu ni wizi wa hadharani, tusilifumbie macho janja hii ya kutudhurumu pesa yetu. Jambo hili halina faida yoyote kwa mfanyakazi zaidi ya kuwekewa maisha magumu hapa baadaye endapo ukiacha kazi leo una miaka 25, basi usubiri miaka 30 ijayo ndipo ukajaze fomu.

Umeshakufa tayari. Nani mwenye mkataba na Mungu wa kufikia hiyo miaka. Eti wanatuwekea zitusaidie uzeeni. Ptyuuuuuuuuuu!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Tatizo ni kwamba, hata ukifikisha miaka 55 kama wanavyotaka, hawakupi pesa zako zote, wanaanza kukulipa kidogo kidogo kwa mpango wa pensheni ya uzeeni. Kwa maana nyingine ni kwamba wanakulipa labda laki 1 kila mwezi mpaka ufe
 
Back
Top Bottom