kulyanganga
Member
- Nov 13, 2012
- 60
- 20
Mkuu hauna taarifa? Sasa hivi ni hiari ya mtu kujiunga na mfuko apendao mara anapoajiriwa, ila walio kwenye ajira tayari hawaruhusiwi kuhama mfuko alionao. Wajulishe na ndugu zako na rafiki zako. The best mfuko kwa sasa ni LAPF ukifuatiwa na PSPF. Achana na NSSF, PPF na GEPF lao moja. Mfano mtu mwenye mshahara wa 2.5 million akistaafu baada ya kuchangia miaka 20 (240 months) kwa PPF, GEPF na NSSF anapata lumpsum ya Tshs. 38,793,103.45 wakati wa LAPF anaondoka na Tshs. 103,333,333.33. Na pensheni ya kila mwezi haitofautiani sana japo hao PPF, GEPF na NSSF wanalipa kubwa kidogo.
Hauna data unaropoka tu, nenda SSRA ukapewe formula ya mafao mbumbumbu wewe
I stand to be corrected- tatizo la mfuko huu na mingine ya pension ni political interference. Watu wanatengeneza ilani ya Chama wanaweka very ambitious plans/ projects wakati hawajui watakapopata fedha. Mwisho wanalazimisha fedha za wafanyakazi ziwekezwe kwenye miradi ambayo kiukweli siyo viable. Angalia Machinga Complex,- sijui ni nani aliwashauri!! Kwa tabia ya wafanyabiashara wetu wadogo sijui kama machinga complex ndiyo ilikuwa hitaji lao. Nafikiri walichokuwa wanahitaji wafanyabiashara wadodo wengi ni eneo la biashara ambalo linafikiwa na wateja na probably wangeweza kuwekewa facilities kama fence. Mmachinga siyo mtu wa kufunguwa kwenye kizimba siku nzima- jina lenyewe linakataa- "matching guy"Wabunge wa upinzani tunaomba muihoji serikali Bungeni kuhusu hili, wabunge wa CCM hawawezi hata kama wanaumia.
Mpaka sasa serikali imekopa kiasi gani NSSF?
Katika bajeti ya mwaka huu 2015/16 serikali imetenga kisai gani kupunguza deni la NSSF?
Liquidity ya mfuko wa NSSF iko je mpaka sasa? i.e. Uwezo wa kulipa mafao kwa wafanyakazi NOT assets.
Mkuu Inamana wakifilisika hawatatulipa hela zetu manake kila mwez tunakatwa 10 percent ya mshahara .je wamesha declare kufilisika?
Gulwa
Mkuu umesahau sababu nyingine, Waziri wa ujenzi kuwaingiza mkenge kwenda kujenga daraja la Kigamboni (White Elephant) litakalo hudumia wakazi wasiozidi 150,000 kwa siku. Kweli hawa viongozi wetu balaa.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe naye kachangia kuifilisi NSSF kwa kugoma kulipa deni ya fedha alizokopa.
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa ndani ya nssf kuwa hali ya mfuko huo kifedha ni mbaya sana kiasi cha kushindwa kulipa makandarasi wengi, na baadhi ya miradi hasa ya ujenzi kukwama.
Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hiyo ni:
1.Serikali kukopa hela nyingi kutoka kwenye mfuko bila kurudisha.
2.Ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi waandamizi wa mfuko ambao wengi wamejilibikizia mali nyingi sana zilizopatikana kwa njia haramu.
Sisi wachangiaji tunazidi kuwa maskini, watu walipewa dhamana ya kutunza michango yetu wanakosa uaminifu.
Huyo mkurugenzi wao anajenga jumba binafsi la bilioni 34 kinondoni kwa nn wasiwe taabani kifedha?
Fanya utafiti zaidi Mkuu... NSSF iko imara kuliko mifuko mingine ya hifadhi za Jamii... Ni kweli kuwa Serikali imekopa sana LAKINI kutokana na uongozi Imara wa Dr DAU ... NSSF inavitega uchumi vingi vya maana vyenye uhakika wa kuwalipa wadau wake wakati wowote ... Unafiq na Uzandiki wa kushambulia Taasisi zenye kuongozwa na watu wa imani tofauti na Vatican unajulikana ... Acheni Upuuzi ... mnatakiwa kutambua juhudi zao na kuwaenzi ....
mkuu hakuna uhusiano wa moja kwa moja uvaaji hijabu na uninja ktk kufilisika kwa mfuko ingawa ni ukweli usio na shaka kuwa ufadhili wa matukio ya ugaidi haukosi uhusiano wa moja kwa moja na uvaaji huo,Imani tofauti na vatican ?Ndio maana wafanyakazi mpaka wafanya usafi wamejaa wavaa ninja na pedo!!!akili Za kimadrasa lazma mfuko ufilisike kwa kupewa mvaa pedo (chizi kapewa rungu mbele ya duka la vioo)
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa ndani ya nssf kuwa hali ya mfuko huo kifedha ni mbaya sana kiasi cha kushindwa kulipa makandarasi wengi, na baadhi ya miradi hasa ya ujenzi kukwama.
Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hiyo ni:
1.Serikali kukopa hela nyingi kutoka kwenye mfuko bila kurudisha.
2.Ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi waandamizi wa mfuko ambao wengi wamejilibikizia mali nyingi sana zilizopatikana kwa njia haramu.
Sisi wachangiaji tunazidi kuwa maskini, watu walipewa dhamana ya kutunza michango yetu wanakosa uaminifu.
Kuanzoa mlimani city na makumbusho wamepanga kwa bei ya juu sana,kule nyerere roadi jengo LA manji usiseme.hawa Nssf na dau ni jipuuu na limeivaNSSF wataachaje kufilisika Kama Miradi wanayojenga wana inflate gharama Mara Mbili Tatu.....bora hata wangekuwa wanakopesha Tanroad na halmashauri wajenge barabara .....wangelipwa ...kuliko kujenga maghrofo ya mabilioni yasio na wapangaji.....
Wakati NSSF wanamajengo Tele ....bado wanapangisha ofisi kwenye majengo binafsi yakiwemo ya Kigogo wa Mfuko na kulipa mapesa Mengi Tena in advance
Wewe unajua uwezo w Nssf kwa swala LA cash flow?Wengine ni kutokujua tu au ni mwislam anaongoza pale basi wewe ni kupinga tu shilika gani la hifadhi ya jamii lilo bola tanzania na linalo saidia maendeleo ya jamii na kipindi cha nani kuongoza ndio.limepata umaalufu acheni umbulula nssf nhc toka wamepata vingozi wasiopenda kuchumia matumbo yao kwasasa ndio mashilika bola tanzania kama unajua moja nawewe tuambie