Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Katika hii mada ya NSSF,jamani mtu akitaka kujitoa ambaye alikuwa voluntary inakuwaje na malipo huchukua muda gani? Tafadhalini wakuu
Iwekwe sheria kujiunga na hii mifuko iwe ni hiyari ya mtu.
Kuthibitisha nenda ukawaulize contractors wote wanaojenga miradi mikubwa ya nssf watakueleza yaliyowakuta.Ni vizuri tuwe na uhakika wa Jambo Kama hili Kabla hata halijaletwa hadharani, kwani habari zisizo na uhakika zinaweza kuleta madhara Mengi kwa wananchi.
Huu mfuko unawahusu wananchi wengi sana, na kuwatajirisha mshituko bila na kuwa full details na information kunaweza kuwapa heart attack watu.
Mods this has to be investigated and removed immediately Kama hakuna ukweli, it's very dangerous, at this time leading to election tutaona tetesi nyingi sana.
Huyo mtu "kutoka ndani" kakudanganya.
kuna kwingine kabla ya kusaini mkataba unaletewa fomu ya hii mifuko,hasa NSSF!Mbona mi ninavyojua kujiunga ni hiari ndugu yangu au kuna mashirika ambayo wanalazimisha kujiunga na mfuko flani?
Maana mimi nilichagua mwenyewe mfuko wa kujiunga
Huyo mtu "kutoka ndani" kakudanganya.
Mbona mi ninavyojua kujiunga ni hiari ndugu yangu au kuna mashirika ambayo wanalazimisha kujiunga na mfuko flani?
Maana mimi nilichagua mwenyewe mfuko wa kujiunga
Kujibizana na mtu kama wewe ni kupoteza wakati kwani inonekana huna tofauti na robbot
Mkuu nimepata kutoka reliable source ila siwezi kutaja hapa kwa sababu zinazoleweka
Mwambieni Mbowe arudishe mkopo wa NSSF ambao amepanga kuwatapeli. Watu aina ya Mbowe ndio hao hao wanaoshiriki kuikwamisha mifuko yetu ya kijamii.
Mbowe amechangia sana kuifilisi NSSF
Ni wazi katika uzi kama huu mahudhurio yako ni lazima huku upande wako unaosimamia ukiwa wazi pia!Huyo mtu "kutoka ndani" kakudanganya.