Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Umofia... Kwenyu!!

Umenikumbusha mbali. Nikiwa Form 4 kuna madogo wa Form 2 pale shule walianzisha kikundi hatari kilichojulikana kama: UMUHOFIA. Baadaye H/Master akasarambatisha kikundi hiki. UMUHOFIA KWENU: YAAAAH!
 
Passed like a shadow,spared,My holiday weekend&ngoswe penzi kitovu cha uzembe...
 
Kitumbua kimeingia mchamga,siku njema,Amezidi ,Dar usiku.za kidhungu ni My life with a criminal ,my life in crime.
 
Sucker Punch, an ace up my sleeve, He won't need it now, One bright summer morning, Knock Knock who is there? Miss Shumway waves a wand, No orchids for miss Blandish, Like a hole in the head, The way a coockie crumbles, Mission to Venice, Sienna, This is for real, Kikosi cha kisasi, Njama, Kikomo, Hofu, Sanda ya jambazi, Tutarudi na roho zetu? Is it possible? Song of Lawino, Mine boy, na vingine vingi
 
"A meeting in the Dark"....hili ni bonge la kitabu!lilinifundsha kuwa kumbe hakuna mjanja na msela mbele ya mapenzi
 
Robinson Crusoe
Kikosi cha Kisasi - Elvis Musiba
Sherlock Holmes
Alibaba na Wezi 40
 
"I take this girl, if police come, tell Chonya of Chilonwa. Me!" -- fumbua hii nukuu (km nitakuwa sijakosea spelling).
 
hawa the bus driver na mabara the farmer.

Duu! Unanikumbusha miaka ya 2000 nikiwa kidato cha pili mara sec, tulipewa hivi vitabu na mwalim Chiriku (sijui yupo?), aisee vilikua na stori tam sana.
 
Things fall apart, Zawadi ya Ushindi.... Zaman ndo kulikuwa na novel za ukweli, unasoma na unajifunza ki2 cio cku hz. Madenti na magezeti ya udaku na movie za kshenzi.
 
Things fall apart, Zawadi ya Ushindi.... Zaman ndo kulikuwa na novel za ukweli, unasoma na unajifunza ki2 cio cku hz. Madenti na magezeti ya udaku na movie za kshenzi.
 
mmmmmh nilikuwa sitaki mwl amalize kipindi hata kidogo wakat wa things fall apart, is it possible and three sweeters one husband
 
Well, nilivutiwa sana na ''KULI'' cha Shafi Adam Shafi, 'Kijiji Chetu' na 'One Suitor Three Husbands,An enemy of the People na Petals of Blood by Ngugi wa Thiong'o''. Kulikuwa pia na vitabu vya hadithi ambavyo kama hujavisoma unaonekana hujakamilika kama ''Elfu Lela Ulela'', ''Mashimo ya Mfalme Suleiman'' na ile mambo ya kina ''Umsolopagazi''. Kingine ni Safari za Gulliver(Gulliver's Travels'' japo hakikupata mashabiki wengi kama hivyo hapo juu.

vuta n'kuvute by shafi
 
Back
Top Bottom