Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

somg of lawino
no longer at easy
things fall apart
zawadi ya ushindi
novels za b. R . Mtobwa (sterling wake joram kiango)
novels za e. musiba (sterling wake willy gamba)
alfu lela ulela
novels za sydney sheldon kama dooms day, nk
enter my jungle

kweli wakati ni ukuta! Siku hizi wanasoma novel za kisoro sana
 
1.The River Between
2. I will marry when I want
3. The trial of Dedan Kimathi
4. Make the corps walk
5. Secreat Defender
6. Tiga Mumba
7. Zawadi ya ushindi
8. Hiba ya wivu.
 
Hivi na Ngoswe penzi kitovu cha uzembe na hawala ya fedha zimo??

Ukiachia hizi napenda Song of Lawino, pia kusadikika.
 
kuna list kibao ya novels za kiswahili na kiingereza zilipendwa enzi hizo za secondary, me binafsi naikubali sana kiu ya haki ya akina mzee toboa mambo, iliyoandikwa na zainab mwanga, halafu ya kiingereza niliipenda sana is it possible ya akina lerionka na wenzake.
Hebu na wewe tutajie za kwako!

mirad bubu ya wazalendo ya gabriel luhumbika
 
1. Zawadi ya ushindi
2.pesa zako zinanuka
3.Rosa mistika
4.Pande na ukimwi
5.Atia na Kitutu
 
Back
Top Bottom