IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,549
- 2,668
wauzaji nao wako kwenye kundi la wajinga wasiojua.Ilibidi mtoe ili somo mkiweza wakuu mana unauziwa simu ujui kwa Tanzania kama peform yake itakua mbovu kwa sasa itabid tuwashe tukague ndani tuone hizi 950 fd na 950f zipo??? kama akuna unatoka nduki isje kua shida mbeleni aisee
Angalia kma wameandika global version au laSasa kama hii ya wapi maana sion FD AU F ipo mtandaon ni refurbished na mim hua nakurupka sana kununua izi bila kujua izi ishu kama hizi najuaje mkuu
Kwaiy mzee kama ni global version iko sasa?
Ndio. Pia aliexpress ukiscroll mpka chini kule huwa wanaandika details zaidi kuhusu hyo simu. Unaweza kuta model number kule chiniKwaiy mzee kama ni global version iko sasa?
Bila shaka hii yenyewe hapa nsha kuelewa ina 950U/950FNdio. Pia aliexpress ukiscroll mpka chini kule huwa wanaandika details zaidi kuhusu hyo simu. Unaweza kuta model number kule chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wana version mbili. Moja ya 950U (Ya US) na moja ni 950F (International/Global). Unatakiwa uchukue ya InternationalBila shaka hii yenyewe hapa nsha kuelewa ina 950U/950F
Nimekupata mkuuHapo wana version mbili. Moja ya 950U (Ya US) na moja ni 950F (International/Global). Unatakiwa uchukue ya International
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawezaje kuziona?1800-tigo, zantel, Voda, ttcl na Airtel
800- tigo, zantel na smile
2300- ttcl na smart
2600- halotel
Unaweza tumia app kama lte discovery kuona band gani Unatumia, zinaweza kuandikwa pia kwa mfumo huuNawezaje kuziona?
Mkuu hii simu yangu nataka nirudishe Android 8.1 oreo , nifanyeje aseeView attachment 1729024Hapo wana version mbili. Moja ya 950U (Ya US) na moja ni 950F (International/Global). Unatakiwa uchukue ya International
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafeli. Tecno wana simu mpya, nzuri, na zinawakimbiza samsung na iPhone.Nashkur kwa ofa lakin kuna brands situmii hata kwa bure. Simu sio suala la mawasiliano tu. Inaonyesha hata namna yako ya kufikiri. (Usinifokee. Nisamehee. Nimeshtukia ukweli umenitoka)
hupati QHD kwenye kioo chako,au nakusingizia???
kioo chako hakikupi afya ya macho maana hakijakidhi viwango vya kiufundi, kama natania ongeza mwanga mpaka mwisho gizani kama macho hayajakuuma.
kuna angle kwenye kioo chako hautachi kirahisi mpaka utumie nguvu, ila hujui sababu hujawahi hangaika kutaka kujua.
kingine simu yako ikijaa 50%inaanza kuwa nzito sababu haina nguvu, haijatengenezwa kulingana na kile kitu inatakiwa kufanya, hapa ni optimization.
Hebu jaribu kudownload genshini impact playstore Kisha tupe feedback linachezaje?Mengine sio kweli.
Mimi natumia Camon 12 Pro, ina ram ya 6GB na Internal Memory ya 64GB.
Kila siku naijaza simu kukopy movies, series, setup files za windows, mac os, softwares na kadhalika. Napumulia 59GB hadi 63GB na inapush speed ileile. Haiyumbi. Haijawai ganda wala kustack hata siku moja.
Nina apps 128 nimeeka kwenye simu na zinafanya kazi fresh mno, zingine sijatumia zaidi ya mwaka na fresh tuu. Nacheza games, kwa speed nzuri tuu, ndogo na za kati (DLS21, Candycrush saga, Asphalt nitro)
Na pia napakua kwa speed ya hadi 5Mbps kwa line ya halotel na kupandisha (upload) kwa speed ya hadi 3Mbps.
Nliinunua dec 2019 na mpaka leo ipo good sana.
Asa io Camon 16 Premier ndio usibonyeze. RAM GB 8 na internal Memory ya 128 GB, processing speed ya (2×2.2 Ghz na 6×2.0 Ghz) ni soo.
Bei nafuu.
Sihangaiki kununua simu jina wala sifa za kijinga, za zamani, bali nanunua simu inafanya makubwa kwa bei chee. Na nachana boksi, hata kama ni laki mbili, ila mi ndo wa kwanza kuitumia.
Acheni nikue na Tecno
@chief mkwawaMkuu hii simu yangu nataka nirudishe Android 8.1 oreo , nifanyeje aseeView attachment 1729024View attachment 1729025
Lazima utafte firmware husika ya simu yako.Mkuu hii simu yangu nataka nirudishe Android 8.1 oreo , nifanyeje aseeView attachment 1729024View attachment 1729025
Shukran sana mkuuLazima utafte firmware husika ya simu yako.
Fata haya maelekezo:
Ila jua hata ukirudisha android 8.1 tatzo la network litakua pale pale. Hyo ni hardware issue
bei nafuu ni shingapi??Mengine sio kweli.
Mimi natumia Camon 12 Pro, ina ram ya 6GB na Internal Memory ya 64GB.
Kila siku naijaza simu kukopy movies, series, setup files za windows, mac os, softwares na kadhalika. Napumulia 59GB hadi 63GB na inapush speed ileile. Haiyumbi. Haijawai ganda wala kustack hata siku moja.
Nina apps 128 nimeeka kwenye simu na zinafanya kazi fresh mno, zingine sijatumia zaidi ya mwaka na fresh tuu. Nacheza games, kwa speed nzuri tuu, ndogo na za kati (DLS21, Candycrush saga, Asphalt nitro)
Na pia napakua kwa speed ya hadi 5Mbps kwa line ya halotel na kupandisha (upload) kwa speed ya hadi 3Mbps.
Nliinunua dec 2019 na mpaka leo ipo good sana.
Asa io Camon 16 Premier ndio usibonyeze. RAM GB 8 na internal Memory ya 128 GB, processing speed ya (2×2.2 Ghz na 6×2.0 Ghz) ni soo.
Bei nafuu.
Sihangaiki kununua simu jina wala sifa za kijinga, za zamani, bali nanunua simu inafanya makubwa kwa bei chee. Na nachana boksi, hata kama ni laki mbili, ila mi ndo wa kwanza kuitumia.
Acheni nikue na Tecno
Utasikia laki sita au saba mimi natumia haya mamchina kwa sababu sina hela ila siyapendi kabisa yanastuck kishenzibei nafuu ni shingapi??