Not everything AI

Mzee ndo atazidi kuvurugwa kabisa, mishipa itapeleka damu sehemu mbali mbali kwa kasi isiyo ya kawaida.
Ashajichokea zake, kama alizitafuna sana enzi hizo sasa hivi acha amalizie tu uzee kuliko kushusha sukari 😆
Anyway!, njoo kwanza inbox, ili tuone namna ya kupanga mikakati juu ya janga hili la Eli Nino. 😊😋.
Hahaha unataka kuniletea vyakula au? Kwanza nimesikia kuna bajeti imetengwa pembeni mniandike jina langu tafadhali😎
 
Unaweza kuni ignore kwani umetumwa kuangalia ?

Simple weka kwenye ignore list, kama mie hapa nakutupia kwenye ignore list
Mkuu usitumie hasira, mtu kukerwa na picha zako mbili tatu haimaanishi kuwa maudhui yako yote yanamkera. Mfano mimi ningekuwa naignore mtu kwa picha moja Mshana Jr ningeshamweka huko kitambo maana kuna picha huwa anaweka hadi unasema hivi huyu mtu anawaza nini? Unakereka ila kwa vile kuna mambo mengine ya msingi huwa anapost hutaki kuyakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…