Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,653
- 3,243
Mbwamwitu wamefika kanisan
Mbwamwitu wamefika kanisan
Yeah budget imeanza, na ndo maana nakusihi uje inbox 📬, nikuchukue baadhi ya details ili upate kipaumbele zaidi kwenye mgao. 😊😊Ashajichokea zake, kama alizitafuna sana enzi hizo sasa hivi acha amalizie tu uzee kuliko kushusha sukari 😆
Hahaha unataka kuniletea vyakula au? Kwanza nimesikia kuna bajeti imetengwa pembeni mniandike jina langu tafadhali😎
Hapa unavyo ingia kulala inabidi usiwashe taa, ukipaona tu palivyo unaweza kutapika hadi damu.. 😅😅
Safii! Hapo tunaweza kuongea lugha moja sasa navaa viatu nakuja💃🏽Yeah budget imeanza, na ndo maana nakusihi uje inbox 📬, nikuchukue baadhi ya details ili upate kipaumbele zaidi kwenye mgao. 😊😊