NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

Nadhani sasa ni muda umefika wa Marekani kurudisha silaha zao za nyulkia pale SK.Na wawaruhusu SK kuzitumia pale wanapoona wanatishiwa hii itamtia akili huyu dogo.Tena warudishe yale mabomu yao ya Hydrogen ya 1.2 Megatons.
S. korea hawana ubabe kwa N. Korea. Ni kama walivyo wajapani. Kwanza wajapan hawana hata jeshi. Wamarekani waliwadanganya.
 
labda south walimwambia walivyokuwa wana chukuwa mazoezi ya kivita kuwa north wana tucheka maana mazoezi yetu wao walisha maliza
sasa wapo kwenye mambo makubwa zaidi hata hizi Thaad ulizo tuwekea north hawazijali madude yao yana speed mara 100 ya Thaad pia south hawataki vita hapo wamesha wazi wamekuwa wajanja!!!
99cbca553a3ae38ef383f400cd61dee4.jpg
nyie mnayo mangapi kwani?!

Halafu fundi25 acha kuchanganya mchele na pumba,umeambiwa hilo bomu sasa linakuaje na speed mara 100 sijui zaidi za THAAD?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mambo mengine uliza bhana humu watu kibao wapo watakusaidia...

Half kingine wenzenu walishajaribu hayo miaka 60 iliyopita nyie ndo mnakuja jaribu leo. Jiulize miaka ya 60 hadi leo yatakua yana nguvu kiasi gani nadhan jibu unalo
 
wajapan kwa sasa hata sisi tunaweza kuwapiga kama hawana support ya USA.
 
99cbca553a3ae38ef383f400cd61dee4.jpg
nyie mnayo mangapi kwani?!

Halafu fundi25 acha kuchanganya mchele na pumba,umeambiwa hilo bomu sasa linakuaje na speed mara 100 sijui zaidi za THAAD?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mambo mengine uliza bhana humu watu kibao wapo watakusaidia...

Half kingine wenzenu walishajaribu hayo miaka 60 iliyopita nyie ndo mnakuja jaribu leo. Jiulize miaka ya 60 hadi leo yatakua yana nguvu kiasi gani nadhan jibu unalo
mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?
nini kinacho weza kuangusha ICBM!!?
hilo bomu la mkuu wetu kim litafungwa wapi!!?
nimeandika hivyo kufupisha maelezo nikilenga watu wenye upeo fulani!!!
 
99cbca553a3ae38ef383f400cd61dee4.jpg
nyie mnayo mangapi kwani?!

Halafu fundi25 acha kuchanganya mchele na pumba,umeambiwa hilo bomu sasa linakuaje na speed mara 100 sijui zaidi za THAAD?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mambo mengine uliza bhana humu watu kibao wapo watakusaidia...

Half kingine wenzenu walishajaribu hayo miaka 60 iliyopita nyie ndo mnakuja jaribu leo. Jiulize miaka ya 60 hadi leo yatakua yana nguvu kiasi gani nadhan jibu unalo

Hizo ni taarifa za kwenye mitandao kuwatisha wanyonge. Asogeze pua yake N. Korea sasa.
 
kwa hiyo inaifanya iitwe vita ya dunia!

Maana ya vita ya Dunia ni kuwa kila Bara lililopa hapa Dunia lilishiriki kwa namna moja ama nyingine kwenye hiyo Vita, ukitoa vita visivyokuwa na makali sana huku kwetu (East Africa), kwa North Africa Vita ilikuwa kali sana
 
mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?
nini kinacho weza kuangusha ICBM!!?
hilo bomu la mkuu wetu kim litafungwa wapi!!?
Hahahaa...

Naona kajikoroga...! Eti speed zaidi ya THAAD..?
 
mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?
nini kinacho weza kuangusha ICBM!!?
hilo bomu la mkuu wetu kim litafungwa wapi!!?
Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.
 
Nimeona majadiliano mengi Al-jazeera asubuhi hii, sijui nafasi ya Watanzania ni nini ila kila aliyekuwa anaongea (hawa ma - experts) wa masuala ya silaha, vita na usalama wa dunia hakuna aliyeongea kwa kushabikia.
Vita ya silaha nzito kiasi hicho si salama kwa ulimwengu wote.
 
kwaiyo umeelewa siku changanya cement na unga wa ngano siyo!!!
kwaiyo ule mzigo wa kim uliyokatiza kwenye mawingu ya japan unaitwaje!!!
 
Nimeona majadiliano mengi Al-jazeera asubuhi hii, sijui nafasi ya Watanzania ni nini ila kila aliyekuwa anaongea (hawa ma - experts) wa masuala ya silaha, vita na usalama wa dunia hakuna aliyeongea kwa kushabikia.
Vita ya silaha nzito kiasi hicho si salama kwa ulimwengu wote.
marekan aache vitisho na mikwara ya kijinga. Kila taifa lifanye mambo yake kwa uhuru pasipo kuingiliwa na taifa jingine.

hivi utajisikiaje wewe na familia yako unapangiwa na familia nyingine namna ya kuishi?
 
Ujue nuke haijawahi kutumika kushambulia popote!
Hydrogen bomb ni mchumba wa nuclear bomb.
Kwani hiroshima na nagasaki,bomu gani lilitumika?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.

Kaka, dah, uwe na fact basi, maana ulivyoeleza ni kama Ulikuwepo wakati wanaangaika,

Iko hivi ndugu yangu, ICBM yenyewe wala sio Bomu, bali ni chombo kinachowezesha usafirishaji wa silaha unayotaka uitume kwa adui (war head), sifa yake kuu ni uwezo wa kusafiri masafa marefu kutoka bara moja kwenda lingine, na pia uwezo wa kuliongoza pa kwenda (target), so ICBMs linaweza kuwa na kichwa (war head) cha Atomic Bomb, Nuclear, Biological, Chemical, au hata hilo Hydrogen bomb
So hapo walichokuwa wanaangaika nacho ni kuwa bomu walilolitengeneza linafaa au wamechemsha?, so far so good, bomu limepita kwenye viwango vinavyokubalika na limekuwa detected Japan na South Korea,

hilo bomu kulifunga kwenye ICBMs wala sio tatizo, Wakorea Kaskazini wala hawawezi kuangaika jinsi ya kufunga hiyo war head ya Hydrogen Bomb kwenye ICBM just unafungua Any war head na kufunga Hydrogen bomb
 
Back
Top Bottom