miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
powerfull nation mkuuKwanin upime IQ yangu kwa standard yako?
Na North Korea akawapime IQ kwa standard zake.
powerfull nation mkuuKwanin upime IQ yangu kwa standard yako?
Na North Korea akawapime IQ kwa standard zake.
Kupima IQ kwa standards za nani?
za mzungu au mmarekani..........
If your main aim is to build a military then low a low IQ makes for the perfect soldier. They don't ask too many questions and simply go where they are told. This could be somewhat deliberate.Kwanin upime IQ yangu kwa standard yako?
Na North Korea akawapime IQ kwa standard zake.
Ahahahahaaa....I agree. 100 percent agree.
If I was so inclined, I might make the point that North Korea is akin to an NWO experiment in social control. A passive population that refuses to revolt, even in the face of starvation, exaltation of a series of idiot leaders and bizarre behavior on the part of the ruling class.I wouldn't expect anything good from any British or american about North Korea!
nimekuelewa mkuuIf your main aim is to build a military then low a low IQ makes for the perfect soldier. They don't ask too many questions and simply go where they are told. This could be somewhat deliberate.
Pengine tatizo lipo kwenye upimaji wa IQ. Unapopima IQ lazima mtihaniwa aulizwe maswali yanayotokana na mazingira yake. Kama walikuwa wanawauliza maswali ya sinema za Holywood wakati wao wametengwa na wa-west kwa zaidi ya miaka 60 sasa hilo ni tatizo la wapimaji. IQ mara zote ni genetically linked. Kama ndugu zao wa damu wa Korea Kusini wana IQ kubwa halafu wao wanaambiwa wana IQ ndogo - Pleeeeease, give me a break.
...Wanaweza sana, na hiyo haimaanishi kwamba wana IQ kubwa au ndogo.Hawa watu wanatengeneza silaha za nyuklia. Unataka kuniambia hawawezi kutengeneza magari, electronics, na consumer goods nyingine?
...Kwahiyo, Urusi itakuwa kama Cuba na Iran? Anyways, kinachafanyika sasa ni siasa za kuonyeshana nani mwamba au mjanja au mjuaji kuliko mwingine. Russia has a choice.Ukishabanwa na mfumo wa kifedha wa mataifa ya magharibi kama ilivyo Cuba na Iran, na sasa wanafanya hivyo hivyo kwa Urusi basi unakosa uwezo wa kupata credit ambayo ni muhimu kujiendeleza. Sijui kama unafahamu uwepo wa umoja wa nchi zijulikanazo kama BRICS (Brazil, Russia, India, China, South-Africa). Huu umoja unataka kujinasua na mfumo wa dola za kiMarekani ili kukwepa huu uhujumu. Umeona Cuba na Iran zilivyokuwa zimebanwa - kama unafuatilia haya mambo.
...They have a choice! China iko wapi?Kujibu swali lako kwa kifupi ni kuwa Korea Kaskazini haiwezi kujiinua kiuchumi kwa sababu imetiwa kabari vibaya sana na mfumo wa kifedha wa mataifa ya magharibi.
...Una maanisha wapiganaji wa miguu? Maana, askari wa majeshi ya leo hii ni wenye IQ nzuri kabisa.If your main aim is to build a military then low a low IQ makes for the perfect soldier. They don't ask too many questions and simply go where they are told. This could be somewhat deliberate.
Choko ni nani?
Choko ni wewe 'unayejiita' mwanaume lakini maneno na vitendo havisadifu uanaume wako! btw, since when the primates started to think +vely??!...phenotypically nyani..genotypically nyani. Wtf.....
...Kama sijakosea, hali ya afya ya mzazi inaweza kuingilia ukuaji wa ubongo au vitu vilivyomo humo. Hii itasababisha kushuka kwa IQ. Sasa, afya ya mzazi wa Korea Kaskazini sidhani kama ni bora kama ya wa Kusini. My point here is, this observation is not a permanent case.
...Wanaweza sana, na hiyo haimaanishi kwamba wana IQ kubwa au ndogo.
...Kwahiyo, Urusi itakuwa kama Cuba na Iran? Anyways, kinachafanyika sasa ni siasa za kuonyeshana nani mwamba au mjanja au mjuaji kuliko mwingine. Russia has a choice.
...Ukitaka kujinasua na mfumo wa dola, usitegemee nchi za ulaya wala marekani na makampuni yao katika kuendesha shughuli zako za uchumi, period. Namaanisha kuwa, usiuze wala kununua bidhaa toka kwao. Sasa, as things stands right now, is that practical?
...Mi nadhani, mfumo wa dola hautakuwa na nguvu pale uchumi wa Marekani na Ulaya na washirika wao, utakapokuwa hauna nguvu wala maana duniani. Sasa, hiyo ni lini?......mie sifahamu.
...They have a choice! China iko wapi?
Lower IQ = easier led and brainwashed.Does poverty cause low IQs? Or do low IQs cause poverty?...Una maanisha wapiganaji wa miguu? Maana, askari wa majeshi ya leo hii ni wenye IQ nzuri kabisa.
...Mwenye low IQ anapanga vipi mikakati ya mapambano?