North Korea has the Lowest IQ in the World

North Korea has the Lowest IQ in the World

I wouldn't expect anything good from any British or american about North Korea!
 
[SIZE=-1]The intelligence scores came from work carried out earlier this decade by Richard Lynn, a British psychologist, and Tatu Vanhanen, a Finnish political scientist, who analysed IQ studies from 113 countries, and from subsequent work by Jelte Wicherts, a Dutch psychologist.

Countries are ranked highest to lowest national IQ score.


[/SIZE]
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD="width: 60, align: left"]Rank
--------
[/TD]
[TD="width: 200, align: left"]Country
-----------------------
[/TD]
[TD="width: 80, align: center"]%
-------------
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Last North Korea Lower than 59


http://www.photius.com/rankings/national_iq_scores_country_ranks.html
Si kweli kuwa kore kasikazini wapo hivyo hii ni fitna za Wazungu tu, Korea kasikazini wapo mbali kimaendeleo kuzipita Nchi nyingi licha ya kuwa ni Nchi ya kijamaa Kama cuba, ina maana Korea inapitwa na Nchi kama burundi Somalia, na hata Sudan kusini? Huo uzushi wa wazungu tu.
 
IQ is it nurture or nature? Kama ni swala la mazingira utafiti ni sahihi maadam north Korea wamekuwa brainwashed sana na watala. Iwapo IQ inatagemea nature i.e. urithi/genetics basi tafiti inayo walakini maadam north na south Korea ndugu.
 
No!! Equatorial Guinea is the country wich most of it's ppl tend to have the "lowest IQ" na sio korea kaskazini... Tena sio kweli kabisaaa!! Nchi 10 za mwisho zenye average IQ zinatokea Africa na moja tu inatokea Carribean island nayo ni Saint Lucia, pitia wordpress/data reserch na soma chambuzi mbali mbali.... Pitia vigezo vya upimaji wa IQs ndugu... Nchi kma Ethiopia, Zimbabwe, Cameroon, Guinea ndo IQ ya chini uanzia 64 kushuka
Ni kweli unachokisema maana Korea kasikazini wapo mbali kitekinolojia licha ya vikwazo vya Wazungu na fitna za Korea kusini, lakini wapo juu kwenye IQ Wazungu wameamua kuwapakazia uongo tu.
 
Korea kasikazini wapo juu kimaendeleo licha ya vikwazo vya Wazungu na Fitna za Jirani yake Korea kusini hizo tabia za kuwazushia kuwa wana IQ ndogo ni tabia za Wazungu wenye nia mbaya wakidhani watu hawajui kuwa Korea ipo mbali kimaendeleo.
 
Noooo, that research is not true.
Yaani uchague wakorea kaskazini kua wa mwisho uache nchi kama Tanzania?

Watu wanafire rockets into space,na makombora useme iq ndogo, sio kweli.


Ubunifu wetu Kama taifa umefanya tuendelee kuwa maskini pamoja Na rasilimari zote tulizonazo! Tuna IQ kubwa kuliko North Korea!
 
Wewe...watu wenye IQ kubwa huwa hawawezeshwi. Wanatumia IQ yao kubwa kujiwezesha.

Kim Jong Un ana IQ ndogo teh teh

We ya kwako ipo kiasi gani?
Mwanamme kuchekacheka Tabia mbaya. Usije pakwa poda tu.
 
Just like you can get hacked to death on any given day/night by a jambazi using a panga.

Waungwana walisema"mkataa kwao mtumwa".
Sura na tabia yako inafanana na Jina lako.
Yaani Nyani nyani tu.
 
Sisi ambao tunashindwa tengeneza toothpicks na viberiti ndio tuna IQ kubwa?
 
North Korea na South Korea ni ndugu, wakati fulani walikuwa nchi moja. Iweje South waweze kuwa na I.Q. kubwa na ndugu zao wa damu wa Korea ya Kaskazini wasiwe na IQ kubwa?

...Kifyatu, nimejiuliza swali hili nilipoitia machoni hii post. Yawezekana, tatizo liko kwenye upimaji wa hiyo IQ, kwa maana ya vipimo au vigezo vilivyotumika. Maana, hao jamaa maisha yao ni duni, ukichanganya na ufinyu wa elimu ya mambo, waweza onekana wana IQ ndogo.

Hiyo inakuonesha ni vipi ukipingana na mataifa ya magharibi kiitikadi, hasa USA watakuita kila jina. Watu wa Korea kaskazini sio kuwa wana I.Q. ndogo bali ni kuwa hawajawezeshwa kiuchumi kwa kuwa uchumi wao unahujumiwa kila uchweo na mataifa ya magharibi.

...Mataifa ya magharibi yanahujumu vipi kitu ambacho hakipo? Wana uchumi gani hao, zaidi ya kutengeneza silaha na kutegemea utalii finyu na SEZ za makampuni ya Korea Kusini?
 
How come The USA imports a lot of medical skills from Cuba?

...Cheap labor, maybe!

...Ukweli ni kwamba, pamoja na uchumi duni kiviwanda, Cuba walikuwa [pengine bado wako] na huduma nzuri za afya. Sio Marekani tu, Hata SA nao wali import madaktari kadhaa toka Cuba.
 
Back
Top Bottom